hahaha, mie nishaenda hospitali moja ya binafsi tena ni kubwa tu (ina jina), nilikuwa najisikia maumivu kwenye tumbo mkono wa kushoto karibia na nyonga, nikafanyiwa ultrasound. Kwenye kupewa dawa nikapewa dawa za UTI (kumbuka sikupima hata mkojo wala nini zaidi ya ultrasound), nikapewa na dawa zingine ambazo sikujua ni nini. Nilivyofika nyumbani nikameza dawa halafu nikawasha pasi kuanza kunyoosha nguo zangu. Salaaale, ilikuwa kila nikinyoosha ndio usingizi unazidi. NIkaamua kuzima pasi na kuchomoa. Nililala fofofo. Nilipoamka, nikaona isiwe shida, nikakumbuka kuna kaka tulisoma naye, japo yeye alikuwa ni mfamasia wa hospitali ya mkoa fulani huku kanda ya ziwa, aliamua kusomea na fani nyingine zaidi ya huo ufamasia.Kwa mmiliki wa hospital ni hasara........wagonjwa wakipungua hospital itashindwa kujiendesha.........ndiyo maana ukienda hospital hasa za binafsi kila sehemu unayotaja unaandikiwa dawa.....kuna siku nilienda hospital moja ya binafsi doctor akaniandikia Septrine na Amoxilline ,kwauelewa wangu mdogo wa dawa nilipohoji akawa anakula kucha tu
πππ nimecheka ila haya mambo hayachekeshi,kuna watu wanapata matatizo makubwa tu kutokana na kutumia dawa tofuti na ugonjwahahaha, mie nishaenda hospitali moja ya binafsi tena ni kubwa tu (ina jina), nilikuwa najisikia maumivu kwenye tumbo mkono wa kushoto karibia na nyonga, nikafanyiwa ultrasound. Kwenye kupewa dawa nikapewa dawa za UTI (kumbuka sikupima hata mkojo wala nini zaidi ya ultrasound), nikapewa na dawa zingine ambazo sikujua ni nini. Nilivyofika nyumbani nikameza dawa halafu nikawasha pasi kuanza kunyoosha nguo zangu. Salaaale, ilikuwa kila nikinyoosha ndio usingizi unazidi. NIkaamua kuzima pasi na kuchomoa. Nililala fofofo. Nilipoamka, nikaona isiwe shida, nikakumbuka kuna kaka tulisoma naye, japo yeye alikuwa ni mfamasia wa hospitali ya mkoa fulani huku kanda ya ziwa, aliamua kusomea na fani nyingine zaidi ya huo ufamasia.
Nikamwelezea zile dawa zilivyo nitenda, pia nikamweleza na ugonjwa wangu. Akaniambia hebu nitumie sms ya jina la hiyo dawa, nikamtumia.
Uwiiiiiii, sikuamini alichoniambia!!! alisema hivi "weee...... (akitaja jina langu) mbona hizi ni dawa za vichaa? kwani wewe uliwaambia unaumwa nini? au mwonekano wako ukoje siku hizi....)
mxeweeeu, nilichofanya nilitupa yale madawa na yale ya UTI, sina hamu na hospitali za binafsi hata kama inapokea BIMA YA AFYA.
Madawa na tiba ni biashara.
hahaha, mie nishaenda hospitali moja ya binafsi tena ni kubwa tu (ina jina), nilikuwa najisikia maumivu kwenye tumbo mkono wa kushoto karibia na nyonga, nikafanyiwa ultrasound. Kwenye kupewa dawa nikapewa dawa za UTI (kumbuka sikupima hata mkojo wala nini zaidi ya ultrasound), nikapewa na dawa zingine ambazo sikujua ni nini. Nilivyofika nyumbani nikameza dawa halafu nikawasha pasi kuanza kunyoosha nguo zangu. Salaaale, ilikuwa kila nikinyoosha ndio usingizi unazidi. NIkaamua kuzima pasi na kuchomoa. Nililala fofofo. Nilipoamka, nikaona isiwe shida, nikakumbuka kuna kaka tulisoma naye, japo yeye alikuwa ni mfamasia wa hospitali ya mkoa fulani huku kanda ya ziwa, aliamua kusomea na fani nyingine zaidi ya huo ufamasia.
Nikamwelezea zile dawa zilivyo nitenda, pia nikamweleza na ugonjwa wangu. Akaniambia hebu nitumie sms ya jina la hiyo dawa, nikamtumia.
Uwiiiiiii, sikuamini alichoniambia!!! alisema hivi "weee...... (akitaja jina langu) mbona hizi ni dawa za vichaa? kwani wewe uliwaambia unaumwa nini? au mwonekano wako ukoje siku hizi....)
mxeweeeu, nilichofanya nilitupa yale madawa na yale ya UTI, sina hamu na hospitali za binafsi hata kama inapokea BIMA YA AFYA.
Dah yako kalihahaha, mie nishaenda hospitali moja ya binafsi tena ni kubwa tu (ina jina), nilikuwa najisikia maumivu kwenye tumbo mkono wa kushoto karibia na nyonga, nikafanyiwa ultrasound. Kwenye kupewa dawa nikapewa dawa za UTI (kumbuka sikupima hata mkojo wala nini zaidi ya ultrasound), nikapewa na dawa zingine ambazo sikujua ni nini. Nilivyofika nyumbani nikameza dawa halafu nikawasha pasi kuanza kunyoosha nguo zangu. Salaaale, ilikuwa kila nikinyoosha ndio usingizi unazidi. NIkaamua kuzima pasi na kuchomoa. Nililala fofofo. Nilipoamka, nikaona isiwe shida, nikakumbuka kuna kaka tulisoma naye, japo yeye alikuwa ni mfamasia wa hospitali ya mkoa fulani huku kanda ya ziwa, aliamua kusomea na fani nyingine zaidi ya huo ufamasia.
Nikamwelezea zile dawa zilivyo nitenda, pia nikamweleza na ugonjwa wangu. Akaniambia hebu nitumie sms ya jina la hiyo dawa, nikamtumia.
Uwiiiiiii, sikuamini alichoniambia!!! alisema hivi "weee...... (akitaja jina langu) mbona hizi ni dawa za vichaa? kwani wewe uliwaambia unaumwa nini? au mwonekano wako ukoje siku hizi....)
mxeweeeu, nilichofanya nilitupa yale madawa na yale ya UTI, sina hamu na hospitali za binafsi hata kama inapokea BIMA YA AFYA.
Nadhani ni za kuwafanya walale wasifanye fujo. hahahahahDawa za vichaa...?
Hizi dawa zinatibu ukichaa kweli?
hahhahah, ila walinipa fundisho siendi hospitali ya binafsi, hata kama wanatoa chai na mkate uliopakwa blue band na jam kwa wagonjwa.Dah yako kali
Mimi nakula mkate halafu nasepahahhahah, ila walinipa fundisho siendi hospitali ya binafsi, hata kama wanatoa chai na mkate uliopakwa blue band na jam kwa wagonjwa.
Kuna hospital fulani nilienda nikaandikiwa sindano kila siku kwa wiki moja, siku ya kwanza nilichomwa sindano siku ya pili nilipoenda nikamkuta nesi hana raha tukasalimiana nikamuuliza kwanini yupo katika hali ile akasema alikuwa amelala na hakuwa na raha kwasababu wagonjwa hakuna. Hapo ndipo nilipojua maana halisi ya bango lao lisemalo "SISI TUNAKUTIBU ILA MUNGU ATAKUPONYA"Kwa mmiliki wa hospital ni hasara........wagonjwa wakipungua hospital itashindwa kujiendesha.........ndiyo maana ukienda hospital hasa za binafsi kila sehemu unayotaja unaandikiwa dawa.....kuna siku nilienda hospital moja ya binafsi doctor akaniandikia Septrine na Amoxilline ,kwauelewa wangu mdogo wa dawa nilipohoji akawa anakula kucha tu
ππππ Kwahiyo alifurahi kukuona mteja wake umefikaKuna hospital fulani nilienda nikaandikiwa sindano kila siku kwa wiki moja, siku ya kwanza nilichomwa sindano siku ya pili nilipoenda nikamkuta nesi hana raha tukasalimiana nikamuuliza kwanini yupo katika hali ile akasema alikuwa amelala na hakuwa na raha kwasababu wagonjwa hakuna. Hapo ndipo nilipojua maana halisi ya bango lao lisemalo "SISI TUNAKUTIBU ILA MUNGU ATAKUPONYA"
Alifurahi sana mkuuππππ Kwahiyo alifurahi kukuona mteja wake umefika