Kuna ukweli hapa

Ni suala la mtazamo tu maana unaeza kuwa na source of income zaidi ya kumi na ukajikuta kipato chako chote cha miaka kumi hakifikii hata robo tu ya pete ya uchumba wa Jennifer Lopez ambae hata hivyo unajua kabisa hawezi kudumu kwenye uhusiano huo.
Thamani yetu iko ndani yetu wenyewe hailetwi na kiatu wala simu wala chochote bali ni suala la kujiamini na kuamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…