Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

Nabii Tito alipelekwa Mirembe ikaonekana Hana Akili akaachwa,Juzi kati nilikutana nae maeneo ya Mbezi Makonde anatembea LA Kanzu lake na Limsalaba,Huo Polisi lazima ijiridhishe, sasa Naona huyu Mkuu kaamua Kuchukua Hatua Kali Yeye kama Yeye!
Ndio Maana Kisheri MTU ambae hayuko Vizuri au Mlevi,anapokuwa Mlevi hawezi Kusaini Mikataba!
Sasa hiyu alifanya tukio akiwa Mlevi!
Lakini watajuana wenyewe, Wafuate tuu Utaratibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo vichaa siku hizi wanaruhusiwa kuwa watumishi wa uma?
 
Kuna watu humu wanavichwa vya hovyo sana! Hawaoni mifano ktk nchi nyengine namna dini zinavyowaumiza haswa pande mbili zisipo elewana!.
Kupitia tukio hili kuna watu humu wameshaanza kutoleana maneno,hivyo hi ni moja ya athari ya tukio lile!
Mambo huanza kama tone lkn hujaza bahari.. mambo kama haya huwa yanahitaji hekima na si kujitapa ama kudhihaki!! Ni bora ukahoji kuliko kudhihaki!... Kama mtu unajiona wewe kwenye mambo ya dini huwezi mijadala na huwezi kuzizuia hisia zako ni bora ukapita ukaenda kwenye udaku!.. dini sio sehemu ya mashindano hakuna kitu kama hicho!..

Huyo jamaa anastahiri hiyo adhabu,Ni vyema tufahamu athari ya vitu tulivyonavyo na vyengine kama huviwezi ni bora kufungilia mbali upuuzi, nashauri wengine mpite kwa kusoma tu mambo ya dini yanahitaji hekima kubwa na haswa ya utambuzi ktk pande hizi mbili zote, saikolojia na ubongo unaowaza sahihi.

Watanzania tufike wakt tuache kuogopa vitu vya hisia. Hata wanetu wanararua biblia kila siku na tunaenda dukani kununua zengine. Zisipochanwa wachapishaji wale nini? Hukumu ya kuchana kitabu ni kati ya mtu na mungu na sio mtu na mtu........

Tuache mihemko tujipange kupambana na corona virus sio kudiscuss vitabu vyenye masimulizi ya watu wa kale
 
Mktisto ana hekima ya Kristo, basi tu manabii fake wanaidhalilisha imani hii

Sent using Jamii Forums mobile app

Yesu mwenyewe huku akiwa mkali alikwenda kuwafukuza watoza ushuru kwenye nyumba ya Mungu, sembuse mtu kuchanachana kitabu cha Mungu na kukikanyagakanyaga!

Hivi ingekuwaje kwa mfano Muislamu mtumishi wa umma aingie kanisani na kukojoa mbele ya Altare huku akisema Yesu siyo Mungu kisha Jaffo amsimamishe kazi, Mada humu ingeanzishwa ya kumlaumu Jaffo au kumpongeza?

Tatizo la Mfumo Kristo nchini ndilo hilo, Huu mfumo uko insensitive kabisa juu ya hisia za Waislamu ndiyo maana leo tunashuhudia
Teuzi za mamlaka za teuzi zenye Kuteua wakiristo kwa wingi wa kutisha huku waislamu wakiteuliwa kiduchu kweli wakati waislamu waliosoma, wenye vigezo kama wenzao wakiristo wapo wa kutosha nchini.

Ndiyo maana tunaona leo Masheikh wa Kiislamu wanaonewa na huu mfumo Kristo, uonevu wa kutisha kabisa. Leo mwaka wa saba wako ndani bila kesi ya msingi lakini kuna mchungaji kahusika kuandaa tukio bila kufuata security measures na kupelekea vifo vya watu 20, Lakini Wachungaji wote walioshiriki kuandaa jambo hilo wako nje kwa dhamana lakini Waislamu wasio na kesi yoyote ya msingi wala ushahidi wa uhalifu wanaozea jela mwaka wa saba sasa

Halafu leo hii wanufaika wa mfumo Kristo nchini wanadownplay tukio baya kabisa la UCHOCHEZI wa kidini. Hii ni kawaida ya wanufaika hawa wa huu mfumo ovu kabisa uliosukwa kiufundi, ambao ni SERIKALI NDANI YA SERIKALI pindi ikitokea watu kuusema na kuukosoa huu mfumo, huja mitandaoni kama mbogo kuutetea, kudownplay malalamiko ya watu kupitia kejeli, na matusi.

ULEVI SIYO KINGA YA JINAI
alichokifanya huyo mtu ni UCHOCHEZI MBAYA WA KIDINI nchini.

Hivi utateteaje Kitendo cha kidhalimu kama hiki hapa chini?
 
TAMISEMI inahusika na nidhamu ya watumishi wakiwa kazini na nje ya kazi.

Acheni Serikali ifanye kazi yake. machafuko yaliyotokea kwenye nchi za kiarabu ikiwemo Libya ni kwa sababu ya ujinga mdogo tu wa kijana mmoja, sembuse huyu aliyechoma Kurani!??

Nyie CHADEMA VIPI?
Ni swali, naomba kueleweshwa , huyu mchana kurani, mlevi, akiwa nnje ya kazi , akiwa amelewa, amebishana kijiweni, akachana, huku akiwa anayumba yumba kwa ulevi, na baada ya kuchana hakuna madhara hatarishi ya kiusalama yaliyotokea

Galfla kasimamishwa kazi kwa kuchana kurani, waziri amefanya sawa kumsimamisha kazi kweli?
Kwanini hakutizama na kusisitiza walio juu yake waangalie hatua za kinidhamu , zulizoko kisheria zichukue hatua kama zupo? Au kwassb waziri naye ni mwisilamu?
Naona amekuwa fasta Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna mfia dini kama Jaffo.Nakumbuka kwenye ishu ya kuchinja.Alikuja juu sana kupinga wakristo kuchinja utadhani hii inchi ni ya kidini.Walitaka kuzichapa na aluyekuwa mbunge kutoka mkoa wa Kigoma>>>Machali.

Mdini sana.Hafai hata kuwa kiongozi yule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tufike wakt tuache kuogopa vitu vya hisia. Hata wanetu wanararua biblia kila siku na tunaenda dukani kununua zengine. Zisipochanwa wachapishaji wale nini? Hukumu ya kuchana kitabu ni kati ya mtu na mungu na sio mtu na mtu........

Tuache mihemko tujipange kupambana na corona virus sio kudiscuss vitabu vyenye masimulizi ya watu wa kale
Nikupe ushauri tu ndugu kama kitu hakikuhusu kwanini ujiumize nacho..? Si unakiacha! Hivi unafahamu hivyo vitabu vya dini kwa wengine ni kama katiba zao..? Kwa vile niwajuavyo binadamu si Jambo la kuachia lile linaweza leta mtafaruku mpk wewe unashangaa! Kwa vile uwazavyo wewe ni sahihi lkn usifikiri na wengine wanawaza hivyo mkuu!!
Kiongozi anatakiwa kuwa na fikra pana na ameona mbali japo kuwa wewe hujaona! Anafahamu fika watu wanamitazamo tofauti na yeye anasimamia upande wa serikali ambayo imetoa Uhuru wa kuabudu na si Uhuru wa kudhihaki dini ya mtu mwengine.. usitolee mifano ya watoto,watoto ni watoto na huwezi kumlinganisha na mtu mzima mwenye akili zake. Kuna vitu vya kupuuzia lkn sio hili keep it in your mind na utambue kuwa kila mtu ananamna yake ya kuwaza,kama hulijui hili jua unaupungufu fulani (sio kwamba nakutukana).. mazingira yapo ili uyafahamu na mambo mengine usipojihusisha nayo hayata kukwaza.
 
kwa hyo ulitaka huyo mfanyakazi aachiwe tu?.
au ulitaka kiongozi gani achukue hatua ndo ujue kuwa sio mdini?..
HILI nalo ni la kujibizana?
naamini watu wa humu wengi ni wakubwa kiumri tutumie akili zetu.
Hakukuwa na sababu za huyo mfanyakazi achane quran.
Alibip wamefikia.
Huo ni upumbavu wake asikufanye na WEWE UKAWA MPUMBAVU
Hamna mfia dini kama Jaffo.Nakumbuka kwenye ishu ya kuchinja.Alikuja juu sana kupinga wakristo kuchinja utadhani hii inchi ni ya kidini.Walitaka kuzichapa na aluyekuwa mbunge kutoka mkoa wa Kigoma>>>Machali.

Mdini sana.Hafai hata kuwa kiongozi yule.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni swali, naomba kueleweshwa , huyu mchana kurani, mlevi, akiwa nnje ya kazi , akiwa amelewa, amebishana kijiweni, akachana, huku akiwa anayumba yumba kwa ulevi, na baada ya kuchana hakuna madhara hatarishi ya kiusalama yaliyotokea

Galfla kasimamishwa kazi kwa kuchana kurani, waziri amefanya sawa kumsimamisha kazi kweli?
Kwanini hakutizama na kusisitiza walio juu yake waangalie hatua za kinidhamu , zulizoko kisheria zichukue hatua kama zupo? Au kwassb waziri naye ni mwisilamu?
Naona amekuwa fasta Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu waziri ni siasa kali ana wake wanne na mimi wa kutisha
 
Ni swali, naomba kueleweshwa , huyu mchana kurani, mlevi, akiwa nnje ya kazi , akiwa amelewa, amebishana kijiweni, akachana, huku akiwa anayumba yumba kwa ulevi, na baada ya kuchana hakuna madhara hatarishi ya kiusalama yaliyotokea

Galfla kasimamishwa kazi kwa kuchana kurani, waziri amefanya sawa kumsimamisha kazi kweli?
Kwanini hakutizama na kusisitiza walio juu yake waangalie hatua za kinidhamu , zulizoko kisheria zichukue hatua kama zupo? Au kwassb waziri naye ni mwisilamu?
Naona amekuwa fasta Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo aliyechana juzuu ni dini gani?
 
Ukimwangalia vzuri wala haiumizi kichwa kugundua kua alikua amelewa hivyo huyu alipaswa kupuuzwa japo kakosea sana. Naamini angechana Biblia wala hakuna hata ambae angeipost maana wangempuuza na hakuna ambae angepata hacra kwa hilo,sasa kwakua kachokoza mwenyewe nnafikiri apate kinacho mstahili japo kwenye hadithi mtume alipitia masuti na aliwasamehe

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo biblia ziko nyingi, zingine ni Satanic bible na Gay bible . Sasa kama angechana hizo si wakristo wengi wangalifurahia tu :p :p
 
Mkuu kwa kitabu chao ni nini? Dini ni imani ya kikundi fulani cha watu juu ya kile wanachoaamini kuwa ni Mungu ama miungu yao. Kwa mtu ama kikundi kingine kichoamini katika imani hiyo sio kitabu wala wenye hiyo dini wenye maana kwao. Kwa maana nyingine hakuna anayelazimishwa kuamini dini isiyo yake. Haya ya jafo ni kama anataka kuelekeza watu kuamini wasichoamini wao. Mambo ya dini zaidi ya kuvumiliana hakuna kingine, sio sheria wala adhabu vinavyofaa. Waziri ameongozwa na imani yake zaidi kuliko busara na utaratibu wa nchi. Ukikomaa sana kusema mambo ya dini utakuwa mdini wa kwanza.
Mimi siyo Mwislam ila jamaa kakosea we unajua kuwa watu wako so sensitive na kitabu chao halafu unakichana kama siyo chokochoko ni nini?
Unajua machafuko mara nyingi husababishwa na vitu vidogo.
Tujifunze kuheshimiana na kuvumiliana heshimu imani na hisia za wenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo jafo amevuka mipaka ya taratibu za kazi hii mambo sio mpaka eti waziri ndio atoe agizo Bali wangefanya mahojiano naye ndio wa msikilize upande wa pili ndipo wasuruhu bila mihemko
 
Ni swali, naomba kueleweshwa , huyu mchana kurani, mlevi, akiwa nnje ya kazi , akiwa amelewa, amebishana kijiweni, akachana, huku akiwa anayumba yumba kwa ulevi, na baada ya kuchana hakuna madhara hatarishi ya kiusalama yaliyotokea

Galfla kasimamishwa kazi kwa kuchana kurani, waziri amefanya sawa kumsimamisha kazi kweli?
Kwanini hakutizama na kusisitiza walio juu yake waangalie hatua za kinidhamu , zulizoko kisheria zichukue hatua kama zupo? Au kwassb waziri naye ni mwisilamu?
Naona amekuwa fasta Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
jafo imemuuma sana kitabu chao kuchanwa, alafu nashangaa jafo anamsaidia allah kutoa azabu inamaana allah anamuogopa jamaa nini??
 
Back
Top Bottom