Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,613
- 8,751
Mikoa niliyotaja kwenye kichwa cha habari hapo juu ina muingiliano mkubwa sana kuanzia elimu,tamaduni na mengine.
Je, kuna historia iliyopo mda mrefu karne na karne kuhusu sehemu izi zenye makabila haya. Wanaelewana sana na mpaka usafiri wa mkoa fulani kwenda mkoa fulani.
Kwenye mahusiano mikoa hii ni mkubwa sana.