cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,680
- 5,055
Vipi mrejesho???Mke wangu aliugua ugonjwa usioeleweka kama miezi miwili iliyopita,basi mama mkwe akashauri nimpeleke kwenye maombi kanisa la Safina lilipo jijini Arusha,ile tunafika geti la kuingilia kanisani kuna jamaa amesimama hapo na mafuta kwenye pembe(sina uhakika kama ni la ng'ombe)akatupaka kwenye paji la uso,kisha unaingia kanisani,sikuelewa kabisa hicho kitu nikaulizia watu nikaambiwa mafuta ya mzeituni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app