Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?

wewe ulitaka asiwe tbc awe wapi sasa,acha ushabiki wa chuki za kishenzi wewe,EL si mtanzania kama wewe hivyo anahaki ya kufanya chochote kile anachoweza..kila kitu mnahusisha na mambo ya kisiasa..pool up ua sox kaka...mmezidi kumwandama mzee wa watu...kwani hata akiwa anafanya mikakati ya kugombea urais ni kosa? fanya ww basi ugombee urais...damn..u cant be a great thinker mwanalugali
Kama wewe ungekuwa great thinker wa kweli ungejua kuwa EL si MTz wa kawaida kama sisi. ingekuwa hivyo leo angekuwa haitwi mstaafu wakati alijiuzuru kwa kashfa ya utapeli. alitakiwa awe gerezani(aitwe mfungwa) yeye au/na matapeli wenzake walosababisha leo tudaiwe bil zaidi ya 111 na Richmond/DOWANS. Au kwa thinking capacity yko unaona hakuna mtu anatakiwa kwenda gerezani kwa kosa hilo? Ingawa EL anadai hakuhusika lakini kama anaupendo kwa waTz na anawahurumia kwa mateso ya umaskini wao vipi yupo kimya tunapodaiwa mabilioni na matapeli anaowajua.
Kama hawezi kuchukua uamuzi mgumu kutusaidia katika hilo vipi tuamini anapojifanya yupoconcerned sana na umasikikini wetu?
 
Hii ni zawadi ya Jk kwa waTanzania kwamiaka 50 ya uhuru. Wanaendelea na mchezo wa kuigiza lakini wote wanajua nini wanafanya.

Tumedharauliwa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha..................unyonge wetu wa kukumbatia mafisadi ndio umetufikisha hapa... nao wnafanya mpango wa kututawala na kutufanya watumwa milele.

Ee Mungu uje kutuokoa hima
 
Huyu jama atanifanya niandike historia, ntajitolea kwa ajili ya taifa langu. m2 alifukuzwa uwaziri kwa ajili ya ulaghai, leo hii ndiye anatukuzwa kuwa rais
Mwana kwa taharifa yako Lowassa hajafukuzwa, Njia aliyoitumia ndio inatakiwa kuigwa na viongozi wote, kuwajibika hata kama kosa haujalifanya lakini kwakuwa wewe ni responsible kwa wachini yako,
Mbona Hussein Mwinyi mabomu yamelipuka mara mbili na hajawajibika au kwa kuwa ni utaratibu usiozoeleka kwa nchi zetu za kiafrika ndio tunaona kama Lowassa alikuwa na makosa kwa sana au vipi?
Bado tuna imani na Lowassa anauwezo wa kuongoza na kusimamia.
Utake ndio hivyo usitake ndio hivyohivyo.
 
wewe ulitaka asiwe tbc awe wapi sasa,acha ushabiki wa chuki za kishenzi wewe,EL si mtanzania kama wewe hivyo anahaki ya kufanya chochote kile anachoweza..kila kitu mnahusisha na mambo ya kisiasa..pool up ua sox kaka...mmezidi kumwandama mzee wa watu...kwani hata akiwa anafanya mikakati ya kugombea urais ni kosa? fanya ww basi ugombee urais...damn..u cant be a great thinker mwanalugali

We mbona unamtetea sana fisadi aliyeshindikana???? Au ndiyo nyie mlio kwenye pay roll yake?? Hapo kwenye RED: Mind you english!!! Ni PULL up, not pool
 
Watanzania tusiwe wajinga kwani mazambi ya edo mmeyasahu?hatudanganyiki ng'o,labda awaongoze monduli.
 
jamani baba huyu,mimi namuonea huruma!Pale Ikulu Magogoni kuna nini mbona anapafuatilia sana?Siku hizi anatumia sana mwavuli wa dini zote kuoga,sasa pamoja na Vitabu vitakatifu kuweka wazi huruma ya Mungu kwa wale wanaotubu,Low-haser anaweza kusamehewa na Mungu lakini kwa mwanadamu kusamehe ni tatizo,kusahau ni tatizo kubwa zaidi.Nd.Low-hasa tulia na ulivyonavyo vinatosha sana.Ahsante
 
Nimeitazama mahojiano ya bw. Kisu na waziri mkuu mstahafu EL na nina maoni yatuatayo na maswali
  1. ,Kwa mini mahojiano na E L na Sio JK ? Nadhani tulihitaji Majibu ya JK na Sio EL kwenye issue ya muungano. Umeme, Elimu, Hali ya uchumi, barabara, ufisadi, mishahara nk
  2. El ametoa Majibu mepesi kwenye maswali mazito , EL ameonyesha kutojiandaa na Kama hayo ndio Majibu basi hafai Kuwa Raisi wa Nchi hii
  3. kama CCM wametumia Muda huu kufanya kampeni basi EL amewangusha
  4. EL Hana takwimu na inatia wasi wasi ni vipi ataboresha kitu asicho na takwimu
  5. yake kwa uhalisia , hapo ndipo penye shida.
  6. EL hatupi ufumbuzi bali analalamika na kuelezea tatizo tu
Ina maana hata wewe hujui tofauti ya kustaafu na kujiudhuru?
 
Nimemuona na hekaya zake za abunuasi tatizo watz tuna matatizo makubwa manne.
1.wepesi wa kusahau
2.wavivu wa kufikiri
3.wagumu kukubali kuwa tunadanganywa.
4.wepesi kununuliwa.
Leo kawalenga sana vijana na mikakati ya wamisri kwa vijana wao waliokuwa wanamaliza vyuo vikuu,kuwa walikuwa wanapewa kila mtu trekta,ekali tatu n.k sijui anataka jk nae afanye hivyo?????haya kwa uchumi upi???wakati tanzania ni ya tatu nyuma ya iraq na afaghanistan kwa ombaomba duniani??kama yeye kwenye cheo tu cha PM alikuwa ameingia mkataba wa kitapeli wa million 155 kwa siku huo sio ubinafsi???na hapo hajawa rais akiupata je???atawafanyia hao vijana mikakati kama ya wamisri???LAA!AMA KWELI UKIPENDA CHONGO UTAITA KENGEZA.Lakini si mna macho nyie??na masikio si mnayo???mbona hamuoni wala kusikia???:A S 465:
 
wewe ulitaka asiwe tbc awe wapi sasa,acha ushabiki wa chuki za kishenzi wewe,EL si mtanzania kama wewe hivyo anahaki ya kufanya chochote kile anachoweza..kila kitu mnahusisha na mambo ya kisiasa..pool up ua sox kaka...mmezidi kumwandama mzee wa watu...kwani hata akiwa anafanya mikakati ya kugombea urais ni kosa? fanya ww basi ugombee urais...damn..u cant be a great thinker mwanalugali

Lowasa kuongea TBC wala si tatizo. Kilichonishangaza mi labda na wengineo ni kasi aliyotumia kutoka uwanjani mpaka TBC! Kwani dakika tu alikuwa stadium na nguo zake zilezile!. Na mtangazaji aliyemuhoji ameonekana kama kampokelea getini ndipo wakaelekea wote ndani studio(alikuwa anamsubiria getini!?). Tutaona mengi kabla ya 2015!
 
Anasisitiza kuwa ukosefu wa ajira ni bomu linalosubiri muda wake kulipuka!!!

Hapo alijifanya anahasira ya kuwainua vijana ili warudishe imani kwake ila kusena ukweli lowasa hutufai kwani wewd si mwadilifu hata kidogo pamoja na magamba wenzako kwa ujumla
 
Jamani angalieni TBC jinsi wanavyo mpiga tafu huyu EDO kwenye kampeni za kugombea urais wa tanzania

Kipindi hiki nilikiona usiku wa saa saba tarehe 09 Desemba,2011,kwa hiyo kimerudiwa nafikiri walipokionesha mara ya kwanza mleta mada alikuwa amelala.

Ni kipindi ambacho kilioneshwa baada ya makala ndefu ya vita vya kagera ambapo wengi walihojiwa.TBC imewahoji viongozi mbalimbali wastaafu kuhusu miaka 50 ya uhuru kwa hiyo TBC kumhoji Lowassa sio kosa kwa kuwa naye alishakuwa kiongozi mkubwa serikalini,halafu ukisikiliza na kutafakari majibu
Ya Lowassa anajibu vizuri kwa unyenyekevu bila kumsema wala kumlaumu mtu,hapo tofauti ya EL na Samwel Sitta inaonekana wazi.Heko EL
 
why Lowassa and not waliochangia kujenga historia ya nchi yetu hadi tukafika hapa leo ??? where are the veterans and old guards of our nation hadi wampe promo huyu kiongozi aliyestahafu?

Wanaofanya haya wote si wamelipwa wajekufanya haya yote nikimaanisha wamelipiwa
 
wewe ulitaka asiwe tbc awe wapi sasa,acha ushabiki wa chuki za kishenzi wewe,EL si mtanzania kama wewe hivyo anahaki ya kufanya chochote kile anachoweza..kila kitu mnahusisha na mambo ya kisiasa..pool up ua sox kaka...mmezidi kumwandama mzee wa watu...kwani hata akiwa anafanya mikakati ya kugombea urais ni kosa? fanya ww basi ugombee urais...damn..u cant be a great thinker mwanalugali

Hata wewe umetumwa nae kwani baba wa taifa alipomkataa alikosea? Si tumekuja kumwona mwenyewe ****** alipompa uwaziri mkuu hata hajakaa fresh kapiga bingo la hatari. Kwahiyo kijana kubali kataa tetea kwa kulipwa jamaa hatufai kwasababu ni fisadi na sio mwadilifu
 
why Lowassa and not waliochangia kujenga historia ya nchi yetu hadi tukafika hapa leo ??? where are the veterans and old guards of our nation hadi wampe promo huyu kiongozi aliyestahafu?

Lowassa alistahafu? Ask Membe.....he was sucked.
 
Back
Top Bottom