Elijah
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,663
- 416
Saturdays pia kuna watu wanaabudu
[/COLOR]Hapo kwenye red - ndio maana watu wengi wanaiitilia mashaka - hasa MIMI YATIMA - inakuwaje vikao vya Jumapili wakati watu wanahitajiwa pia kwenda kuabudu??? Nilikaribishwa sana na mtu mmoja lakini kigezo hicho kilinishinda - manake hapo ni kuchagua kati ya KUMWABUDU MUNGU NA SEMINA YA GNLD - priority ni ipi???
Hizo semina za Jumapili - na ikiwa kweli ni faida kusikiliza - kunavuta wanaoabudu Jumapili wamwache Mungu waende huko - why not on Saturdays??? :confused2: