Kuna uhusiano gani kati ubahili na Umaskini?

Kuna uhusiano gani kati ubahili na Umaskini?

Nilisoma kwenye kitabu kimoja kwamba ni mojawapo ya laws of universe. "law of attraction".
Naam....law of attraction,ata ukiwa muda wote wewe unawaza matatizo Basi matatizo hujongea kukufuata..

Mleta mada jaribu kutofautsha kati ya ubahili na uchoyo.
Kitendo cha kutokutoa sadaka au kutokumsaidia mwemzako au nduguyo hali ya kuwa unauwezo kwa kuhofia utapungukiwa huo ni uchoyo na kwa fikra hyo uliyo ibeba utapungukiwa tu.

Pia ata kitendo cha kujinyima mfano:- kushinda na njaa kuhofia utapungukiwa huo pia uchoyo.

Ukiwa na kipato jaribu kukigawa,mfano:- mshahara wako unaugawa Mara 3...fungu la kwanza nenda kaingize Kwenye kuiwekeza au biashara..fungu la pili kwa ajili ya matumizi binafsi pamoja na familia..fungu la tatu kwa ajili ya sadaka au starehe na ndugu na marafiki,inategemea na mapenzi yako.

Mimi wengi wananihita bahiri lakini sio mchoyo...
Matajiri wakubwa huwa Wana fungu kabsa kwa ajili ya misaada pia wanaamini kwamba ukisaadia unafunguliwa milango ya rizki na Muumba au kile wanacho kiabudu.

Ndomana kuna mambo ya kutoa kafara but katka Imani ya kiislamu kuna kitu kinaitwa zaka.
 
asante sana nimejifunza kitu zaidi.
 
Kwa mujibu wa nani maana wana uchumi wengi wanaamini ubahiri una faida nyingi kiuchumi kuliko hasara.
 
Always ukitoa unapata zaidi hiyo ni nature ya ulimwengu ukiachana na mambo ya imani.
Mimi ni shuhuda
 
Msijidanganye, haya mambo hayana formula:

Kufilisika/kuishiwa pesa hakuna uhusiano na MTU kuwa bahili au MTU kuwa mkarimu, hata kama ww ni bahili kiasi gani, bahati mbaya ikikupiga utafilisika tu, hata kama ww ni mkarimu (unasaidia ndugu wasiojiweza kifedha, unasaidia maskini, yatima na wajane, unatoa sadaka msikitini na kanisani kila mara) bahati mbaya ikikupiga utafilisika tu

Unaweza ukawa mkarimu sana na usifilisike (ukafa tajiri) na unaweza ukawa bahili na ukaishia kufilisika au ubahili wako ukakusaidia ukafa tajiri, haya mambo hayana formuka CHAKATI MKATO
 
Kuwa bahili kunaweza kuleta utajiri lakini sio ubahili bila akili.Unakuta unakuwa bahili kwenye pombe, kuhonga, na hata kuvaa lakini unapenda sifa mbele za watu kila mtu akilia shida kidogo unatoa hela, au unakuwa bahili kwenye hivyo vyote ila ukiona misosi uvumulivu unakushida,ukiamua kuwa bahili kuwa bahili kwenye kila kitu halafu hiyo hela unayoibana iingize kwenye kuzalisha ili izidi kuongezeka.
Ili izidi kuongezeka,kuongezeka,kuongezeka halafu unakufa.....aisee!!!
 
Hakuna uhusiano. Kutoa (kinyume cha ubahili) ni moyo, Yaani Upendo wa mhusika, haijalishi ni tajiri au masikini.
 
Ubahili ni kitendo cha kutoa lakini uwezo wa kutoa upo ambapo umesikini huna kitu igawa unaweza kuwa na nia ya kutoa lakini huna! Hakuna uhusiano maana kutoa au kutotoa ni hurka na tabia.
Ubahili ni nini?
 
Hapa kwenye ubahili washindi wetu ni wakina nani? Wanawake au wanaume?
Inategemea ni kitu gani kinachotolewa. Ukitembelea uzi wa 'kula tunda kimasihara', utawaonea huruma wanawake jinsi wanavyochezewa, Yaani si wabahili wa kutoa miili yao.
 
Mimi mwenyewe nilianza kuona hio hali wakati nipo chuo iko ivi wale jamaa wabahili sana maisha yao ni shida tupu
 
Kuna tofauti ya ubahili na uchoyo/ubinafsi
Ukiwa bahili na usiwe mchoyo wala mbinafsi pesa utapata ila usipokuwa bahili na kujifanya unajua sana kutumia pesa utakuwa maskini mpaka unafukiwa.

Pili unapoanza kutafuta pesa ili utimize ndoto zako ubahili ni lazima ila ukishatimiza unajiachia tu kula bata maana pesa ipo.

Kama wewe kipato chako ni elf 10 mpaka 20k na usiwe bahili utafuta pesa mpaka utazeeka bila kupata pesa ya maana.
Na kumbuka ukigonga miaka 40 huna pesa hapo umeshafail katika maisha subili ufe tu.
 
Mimi mwenyewe nilianza kuona hio hali wakati nipo chuo iko ivi wale jamaa wabahili sana maisha yao ni shida tupu
Kwahiyo na mimi hapa chuo niache kuwa bahiri. Sema uzinzi unapoteza pesa balaa. Yani hujui zinaishaje.
 
Tuna wazee huku walifirisika kwa kuendekeza kuweka heshima baa kipindi pesa zimewatembelea, hadi leo wanaishi kwa lawama kwa ndugu na watoto wao...hawamiliki chochote, hata banda la mbwa...kwa hiyo unapoongea haya mambo uwe na tahadhari kidogo.
 
Back
Top Bottom