CHAKATI MKATO
Member
- Dec 4, 2018
- 29
- 53
Ubahili ni kitendo cha kutoa lakini uwezo wa kutoa upo ambapo umesikini huna kitu igawa unaweza kuwa na nia ya kutoa lakini huna! Hakuna uhusiano maana kutoa au kutotoa ni hurka na tabia.Kuwa bahili kunaweza kuleta utajiri lakini sio ubahili bila akili.Unakuta unakuwa bahili kwenye pombe,kuhonga,na hata kuvaa lakini unapenda sifa mbele za watu kila mtu akilia shida kidogo unatoa hela,au unakuwa bahili kwenye hivyo vyote ila ukiona misosi uvumulivu unakushida,ukiamua kuwa bahili kuwa bahili kwenye kila kitu halafu hiyo hela unayoibana iingize kwenye kuzalisha ili izidi kuongezeka...
Kabisa huwezi kuwa tajiri kama utakuwa mtu wa kutoa hela ovyo unatoa pale palipo na sababu ya msingi.Ukisoma uchumi, mbinu mojawapo ya kuwa tajiri ni kuwa mbahiri
Ee bwana umegusa mada ya msingi mno ambayo laiti tu watu waijue na waifuate. Kuna sheria ya utoaji na upokeaji huweza amini inafanya kazi kama 2+2=4,ukiweza kuifuata utakuwa tajiri mpaka uchoke.Habari wana jukwaa, kwa muda mrefu sana nilikuwa najiuliza hivi watu wanaotoaga ofa bar kwa nini huwa hawaishiwi, au wanaotoaga misaada mikubwa pia kwa nini wanaendelea tu na maisha yao afu mimi ambaye sifanyi hivyo maisha yangu hayajabadirika kitu yapo vilevile.
Kwa muda mrefu sana nilikuwa mtu ambaye anatumia kipato chake kwa umakini mkubwa mno, kuna watu nalingana nao kipato ila wana matumizi makubwa sana sikuwahi kunua kwa nini hawaishiwi. Yaani kifupi nilikuwa sihongi, sinywi pombe sitoi misaada n.k
Sasa hivi karibuni nmeingiwa na mkono wa utoaji yaani nakuta na hela nayo inakuja hivyo hivyo yaani ni hela ambayo siitarajii ila inatokea tu hadi nashangaa. Sasa najiuliza kwavnini sikua napata kipindi cha ubahili vwangu ila sasa naipata nini kinafanya niipate hii hela? Je, kuna mtu humu hali kama hii imewahi kumtokea?
Naam ila ujuzi wa ubahili unaofundishwa kwenye uchumi siyo ubahili wa uchoyo...." rational and wise use of available resources so as to ensure efficiency and effectiveness"...Ukisoma uchumi, mbinu mojawapo ya kuwa tajiri ni kuwa mbahiri.
Kila mtu anacho= suala la kufikiri na kuamua tu.1.sina hivyo siwezi kutoa=umaskini
2.ninacho ila nikitoa kitapungua=ubahili
3.ninacho na sitoi=uchoyo
Kila mtu anacho= suala la kufikiri na kuamua tu.
Kuwa nacho ni tofauti kabisa na mfano uliotoa ndugu yangu. Mafanikio ni zao la matumizi sahihi ya vichache ulivyonavyo.Buku ndiyo inayokuja kuwa Trilion n.k.unaombwa laki na una buku mfukoni je unacho?
Kuwa nacho ni tofauti kabisa na mfano uliotoa ndugu yangu. Mafanikio ni zao la matumizi sahihi ya vichache ulivyonavyo.Buku ndiyo inayokuja kuwa Trilion n.k.
"..The problem is how we use what we have and not the size"