Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Nimesikia kuwa Makonda katangaza awamu ya tatu iko tayari kesho saa nne.
Nimejiuliza maswali mengi na kuishia kujiuliza kuwa huyu bwana kuna uhalifu mkubwa anapanga?
1. Tumeona watu wakikaguliwa mpaka nyumbani kwao. je, huu sio mpango wa maandalizi ya kuingia kwao kirahisi?
2. Tumeona watu wakiitwa bila utaratibu...je sio mbinu ya Makonda kujiweka mbali na kuwajibika ikiwa lolote litawapata hao watu wakiwa mikononi mwa polisi?
3. Kuanza kuwataja watumiaji wadogo na kisha wanaosemwasemwa (hana uhakika) haiwezi kuwa mbinu tu ya kutuzubaisha huku dili kubwa linapigwa mahali na washikaji zake?