jombezi
Member
- Jun 30, 2017
- 24
- 20
Nilifanya biashara ya kuagiza gari nje na Jacobo,alinidhurumu milioni 20 hadi wa leoJaribu kufanya biashara na mtu aitwaye Yakobo/Jacob ikiwa utafanikiwa bila kulizwa ni nadra sana zaidi atakuwa akinufaika yeye tu.Hiyo ni andiko lenye mhuri wa kiroho never change.