Kuna uhalali wa Prof. Kitila Mkumbo kupinga Waraka wa Maaskofu?.

Ktk biblia mwanamke Abigail alimtetea yule jamaa mbele ya mfalme kuwa asihukumiwe vibaya kwa upumbafu alioufanya kwa kuwa unatokana na jina lake.
Lakini pia Mungu alimwamuru Adamu kuwapa viumbe wote majina na kila kiumbe abebe sifa ya jina lake.Mamlaka ya Adamu bado tunayo kama uzao wa Adamu.Mungu humbadili mtu jina ikiwa anataka kumtumia ktk kazi za kiroho
Mf.Wewe hutaitwa Abram bali Abrahamu means baba ya mataifa yote.
Wewe hutaitwa Sarai but Sarah means mama wa wote.
Wewe hutaitwa Yakobo bali Israel means Mungu hupigana.
Wewe utaitwa Yusuph means niongezee tena.
Wewe utaitwa Beersheba means kisima cha kiapo.
Wewe utaitwa Eseki means mgomvi.
Wewe utaitwa Yakobo means mdanganyifu.
Wewe ni Bethel means nyumba ya Mungu.
Wewe ni Simoni means Mungu husikia.
Utaitwa Peniel means uso huu ni wa Mungu.
Ni vema kuondoa majina yote yasiyo na utukufu wa Mungu maishani mwako kwa kuwa yaweza kuwa ndiyo chanzo cha wewe kuwa hivyo ulivyo,kutofanikiwa,balaa ktk biashara na mengineyo.
Ndiyo maana ya ubatizo na majina mapya.
 
Mkuu hebu tusaidie zaidi ktk hili kwa kiimani zaidi. Una madini mengi sana na unaweza kutusaidia vizazi na vizazi kwa somo hili.
 
Wazazi tuweni makini sana na majina tunayowapa watoto wetu, kuna majina mengine siyo kabisa.
Ukimwangalia PROF.MKUMBO, Yeye kila kitu huwa anakumbwakumbwa tu hata bila kujielewa.
Uprofesa wake ni kwa ajiri ya kusoma MAKARATASI TUU.
Mungu anatuonesha Magugu halisi na ni wkt mzuri wa sisi kuyajua. Huko mbele tutakuwa na kazi moja tu ya kuvuna ngano na kukata/kuyachoma moto magugu.
Hili Mungu ameamua kwa dhati magugu yote yajianike sasa.

Kweli mkuu mkumbo amekuwa mtu wa kukumwakumbwa tu.
 
Mkuu hebu tusaidie zaidi ktk hili kwa kiimani zaidi. Una madini mengi sana na unaweza kutusaidia vizazi na vizazi kwa somo hili.
Jaribu kufanya biashara na mtu aitwaye Yakobo/Jacob ikiwa utafanikiwa bila kulizwa ni nadra sana zaidi atakuwa akinufaika yeye tu.Hiyo ni andiko lenye mhuri wa kiroho never change.
 
Natanguliza salamu.

Kama ningekuwa mimi ndiye Askofu F. Shoo, ningemjibu hivi baada ya kupokea maoni yake juu ya waraka wa maaskofu KKKT.

JIBU:
Ndg Muumini,
Prof. Kitila Mkumbo,

"Ni wkt wa Mungu kuwaonesha watu wake ipi ni ngano na yapi ni magugu"

Pumzi ya Mungu ktk neno la kuonya huchoma sana na tarajia itachoma zaidi"

Amani ya Bwana iwe nawe. Amina.

K.n.y

......
Amen, very short and clear!.
 
Mkuu hebu tusaidie zaidi ktk hili kwa kiimani zaidi. Una madini mengi sana na unaweza kutusaidia vizazi na vizazi kwa somo hili.
Kasome biblia mwanzo 20:24 uone jinsi ambavyo Rahel alitaabika kupata mtoto lakini alipobahatika kuzaa akampa jina Yusufu akimaanisha Nipate tena.Hivyo ukipanga kuzaa mtoto kitinda mimba ukampa jina Yusufu ujue utazaa tena.Hakuna Yusufu wa mwisho asipozaa mkeo wewe utazaa nje tu.
 
Nafarijika sana. Maana mimi ni miongoni mwa watu ninaopenda scriptures hizi ambazo moja kwa moja zina control kanuni za maisha.
 
Mkuu Kitila nashindwa kujua ulijituma au ulitumwa? Lakini jitahidi kujiangalia nyuma kabla ya kukubali utumwa...
Pangua hoja za Kitila Mkumbo badala ya kumshambulia binafsi
Ajabu ya watu wa chadema mnapuga kelele uhuru wa kukosoa lakini hampendi kusikia habari hasi
 
Nafarijika sana. Maana mimi ni miongoni mwa watu ninaopenda scriptures hizi ambazo moja kwa moja zina control kanuni za maisha.

Na inaonesha asingempa jina Yusufu asingepata mtoto tena maana alikuja kumzaa mtoto ambaye alipomzaa tu akafa na huyo akapewa jina Benjamini Maana yake mwana mwenye kubahatika au atakayebahatika.Akina Benjamini wengi wana bahati hata Benjamini mkapa kuwa rais ni njia hizo.Benjamini hamjui mama yake wala mama yake hakumuona.
 
Back
Top Bottom