Kuna ubaya kumwambia Mtu r.i.p?

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,080
Naomba mnijuze kama kuna ubaya kumwambia mtu aliye hai hilo neno la rest in peace (r.i.p) maana navyo jua tafsiri yake ni pumnzika kwa Amani.
Jana nilimuuliza demu wang anafanya nn usiku akasema amepumnzika tu basi nikamwambia r.i.p alitoa povu sanaa...
Au nilikosea kusema ivo?
 
DUUU HAKUNA SHIDA HATA MZEE WAKO AKITAKA KULALA MWAMBIE PUMZIKA KWA AMANI MZEE
 
Naomba mnijuze kama kuna ubaya kumwambia mtu aliye hai hilo neno la rest in peace (r.i.p) maana navyo jua tafsiri yake ni pumnzika kwa Amani.
Jana nilimuuliza demu wang anafanya nn usiku akasema amepumnzika tu basi nikamwambia r.i.p alitoa povu sanaa...
Au nilikosea kusema ivo?

Wewe unadhani kuna Mtu anapenda Kufa?
 
When, why and where did "RIP" originate and what is its significance? When someone dies we use RIP supposedly meaning rest in peace. When did this term originate? And why? What is the real significance of this term.
 
hata mm cjui
 
Mmh. Hii nayo kali.

Kwa nini sasa ukamwambia huyo demu wako , ingependeza ungemwambia mtu unayeheshimiana naye hapo ndio ungejua sehemu sahihi ya kulitumia.
 
yeye pia ni human kama wengne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom