..hivi ni nani aliyewazuia CUF kupeleka hoja ya kufanyika kwa referendum? mimi nadhani haya manunguniko ya CUF dhidi ya muungano ni siasa tu.
..Hamad Rashid, ambaye ni kiongozi mkuu wa upinzani bungeni Dodoma, yuko huku bara na biashara yake ya vyuma chakavu. akirudi kwa washabiki wake Pemba anawajaza ujinga kwamba Muungano ni mbaya.
You dont know who you mess With....haa...ujinga mtupu...
kwa kifupi hat itawale CCJ kwenye muungano hamto weza kuvunja...
Umevunjika muungano wa USSR ambao ulitamba duniani kote. Itakuwa huu muungano wa TZ, ambao umechukua chati kwa ubovu na umasikini duniani,hee?You dont know who you mess With....haa...ujinga mtupu...
kwa kifupi hat itawale CCJ kwenye muungano hamto weza kuvunja...
Muungano uko imara. Hizi kelele ni za mpito tu kwa sababu ya ukosefu wa uongozi imara kwene serikali ya Muungano na njaa inayowakabili Wazanzibari. Neema ikiingia na tukawa na kiongozi imara yote haya yataisha. Kinachotakiwa kufanyika kwa haraka hivi sasa ni kuondoa vizuizi vya waBara kufanya shughuli visiwani hasa wale wenye mitaji ili wasaidie kuongeza ajira visiwani na kuweka wazi maazimio yote ya Muungano yaliyokubaliwa na kama yapo ya kuongezwa/kurekebishwa yaongezwe na kuwekwa wazi. Usiri usiri ndio unaowafanya watu waamini uongo wa wanafiki na kufikiri kuwa Wazanzibari wanaonewa.Toa mawazo basi ya nini kifanyike muungano uwe imara zaidi? Na je hizo measures zikishindikane nini kifanyike? Na je wale wanaoiombea dua mbaya muungano (which i am one of them) tunahoja gani zijibiwe. Sasa unatafuta sympathy mzee???
Hakuna anayetaka ubaya ni kwamba kitu kinafaida na wewe kama unakihitaji na kiufupi kimtazamo wangu I think zanzibar ingelikuwa better without muungano. Nikipata nafasi nitakushukia kwanini nasema hivyo katika uchumi
Hivyo ehh unataka kuniambia solution ya Zanzibar watanzania bara wawatawale halafu wazanzibar wawe vinyapara what a narrow minded thinker. Kwanza hakuna mbara anaekewa vizuizi Zanzibar nishawahi kusema nyuma kuwa Mimi ni mtanganyika na nimewekeza znz Sina tabu yeyote hivyo kama nawe unataka kuwekeza nenda Mzee!!! Na nimeshakugundua wewe sio mzanzibari kabisa huwezi kuwa na mtazamo wa kikoloni Kama huu!!!Muungano uko imara. Hizi kelele ni za mpito tu kwa sababu ya ukosefu wa uongozi imara kwene serikali ya Muungano na njaa inayowakabili Wazanzibari. Neema ikiingia na tukawa na kiongozi imara yote haya yataisha. Kinachotakiwa kufanyika kwa haraka hivi sasa ni kuondoa vizuizi vya waBara kufanya shughuli visiwani hasa wale wenye mitaji ili wasaidie kuongeza ajira visiwani na kuweka wazi maazimio yote ya Muungano yaliyokubaliwa na kama yapo ya kuongezwa/kurekebishwa yaongezwe na kuwekwa wazi. Usiri usiri ndio unaowafanya watu waamini uongo wa wanafiki na kufikiri kuwa Wazanzibari wanaonewa.
Zanzibar hapajawahi kuwa na mauji ya makusudi zaidi ya yale yaliyofanywa na sultani enzi za utawala wake pamoja na utumwa. Vifo vilivyofuatia mapinduzi ni matokeo ya kubadilisha utawala kwa nguvu (mapinduzi) ambao waliokuwa wanayapinga ndio yakawafika.Hivyo ehh unataka kuniambia solution ya Zanzibar watanzania bara wawatawale halafu wazanzibar wawe vinyapara what a narrow minded thinker. Kwanza hakuna mbara anaekewa vizuizi Zanzibar nishawahi kusema nyuma kuwa Mimi ni mtanganyika na nimewekeza znz Sina tabu yeyote hivyo kama nawe unataka kuwekeza nenda Mzee!!! Na nimeshakugundua wewe sio mzanzibari kabisa huwezi kuwa na mtazamo wa kikoloni Kama huu!!!
Zanzibar bwana solution ni kwanza kila mmoja ayakubali makosa Kama yapo ktk usulutani na utumwa na mauaji ya halaiki ya mwaka 1964. Ikimalizika hapo wawe kitu kimoja katika kuijenga nchi yao kwani kuna wazanzibari ( Tena wako proud na uzanzibari wa nje) waje kuiendeleza nchi yao. Colonization from Tanzania bara has to come to an end. Kwani karume alipoungana na Nyerere alifanya hivyo out of fear ya kuogopa kupinduliwa na alijua kwakuwa asp ni Chama chenye wanachama Wengi watanganyika angelipata support.
Kuna watakaosema sultani atarudi. Mie naungana na rais salmin kuwa sasa hivi sultani sio kiongozi Bali ni raia Kama wengine hivyo basi anakaribishwa Kama raia mwengine but wako wazanzibari ni matajiri katika level ya world class (mmoja wao bakhressa) wanashindwa kuekeza znz simply due to siasa na uadui uliopo ijapokuwa bakhressa anajitahidi but wanahitajika kumi Kama hao wawekeze znz. Wakifanya hivyo watatoa ajira kwa wazanzibari na nchi itakuwa na mzunguko wa kipesa namaendeleo yataonekana
Zanzibar hapajawahi kuwa na mauji ya makusudi zaidi ya yale yaliyofanywa na sultani enzi za utawala wake pamoja na utumwa. Vifo vilivyofuatia mapinduzi ni matokeo ya kubadilisha utawala kwa nguvu (mapinduzi) ambao waliokuwa wanayapinga ndio yakawafika.
Watanzania bara kuwekeza visiwani sio ukoloni bali ndio kinachohitajika hivi sasa ili kuongeza ajira na kudumisha Muungano. Watu kama Mengi wangeweza kuwekeza Zanzibar lakini wanashindwa kwa vikwazo vya chini chini vinavyowekwa kwa wabara na SMZ. Pemba tuna maembe mazuri kuliko yoyote niliyowahi kuonja, lakini ni nadra sana kuyaona bara kwenye soko kubwa. Sea weed ni zao lenye bei nzuri sana duniani, lakini ni waarabu wachache na wahindi wanaomiliki hiyo biashara Znz. Tatizo la Muungano ni la watu kujifungia kwenye maeneo yao na kuogopana na kufanya wasiaminiane. Hii mipaka bandia inayolindwa na watu wenye maslahi binafsi ya kuondoa ushindani kwenye biashara zao ndio yanayoleta shida Znz.
Zanzibar hapajawahi kuwa na mauji ya makusudi zaidi ya yale yaliyofanywa na sultani enzi za utawala wake pamoja na utumwa. Vifo vilivyofuatia mapinduzi ni matokeo ya kubadilisha utawala kwa nguvu (mapinduzi) ambao waliokuwa wanayapinga ndio yakawafika.
Watanzania bara kuwekeza visiwani sio ukoloni bali ndio kinachohitajika hivi sasa ili kuongeza ajira na kudumisha Muungano. Watu kama Mengi wangeweza kuwekeza Zanzibar lakini wanashindwa kwa vikwazo vya chini chini vinavyowekwa kwa wabara na SMZ. Pemba tuna maembe mazuri kuliko yoyote niliyowahi kuonja, lakini ni nadra sana kuyaona bara kwenye soko kubwa. Sea weed ni zao lenye bei nzuri sana duniani, lakini ni waarabu wachache na wahindi wanaomiliki hiyo biashara Znz. Tatizo la Muungano ni la watu kujifungia kwenye maeneo yao na kuogopana na kufanya wasiaminiane. Hii mipaka bandia inayolindwa na watu wenye maslahi binafsi ya kuondoa ushindani kwenye biashara zao ndio yanayoleta shida Znz.
Mh sidhani inaelekea hizi ni kauli za kukata tamaa baada kushindwa hoja. Nimewahi kusema katika thread zangu hakuna kitu kinachokaaa milele ni mmungu tu ndio wa milele. Hivyo basi kama muungano uliwekwa na binaadamu iko siku utakufa au utabadilishwa kimpangilio lakini hiyo statement yako ni dhaifu na for your information watakao ubadilisha ni sisi vijana we subiri time will tell
Umevunjika muungano wa USSR ambao ulitamba duniani kote. Itakuwa huu muungano wa TZ, ambao umechukua chati kwa ubovu na umasikini duniani,hee?
utafiti unaonyesha wengi wanao cahngia humu wana vuta bangi
kama umezoea kuoa na kuacha sisi tulio wengi hautuwezi...