ndio shida ya watoto wa kiume hapo unaweza kukuta nyumba nzima wanamzunguka hg kila mtu kwa wakati wake:glasses-nerdy:
Ikigundulika na dingi kakanyaga hapo home patakuwa padogo sana.
ndio shida ya watoto wa kiume hapo unaweza kukuta nyumba nzima wanamzunguka hg kila mtu kwa wakati wake:glasses-nerdy:
huyo dogo sidhani kama anajua chochote kuhusu uwajibikaji!that why yupo teyar kuoa GOLIKIPA tena amwache nyumban anahudumiwa na wazazi!naona anajiandaa kuletea wajukuu ndan ya nyumba ya wazazi wake.Nina wasiwasi na aina ya malezi uliyompa mwanao. Anataka kuoa akuachie mke aende masomoni? Ulishamfundisha uwajibikaji kweli? Akienda shule, mkewe anakuwa hgeli wa bure unampa maintainance allowance au vipi?
umenena mkuu,huyu mtoto kwa mtazamo wangu,bado hajajitambua!(samahani lakini)angekua amepata muda wa kukaa na vijana wenzie,hasa wanaotoka katika familia zenye kipato kidogo,angalau angekua ameanza kujua nini maana ya majukumu!tofaukuna kitu cha hatari nakihisi hapo, inawezekana mnamfungia sana huyo mtoto wa kiume mpaka anaona ndio kafika hapo na hakuna cha kuexplore huko nje...si tabia nzuri kufungia watoto, hasa wa kiume!