Kuna tofauti gani ya Mkurugenzi wa TIC na wafanyakazi hewa??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
57,682
32,198
Naomba msaada kidogo jamani maana ya mfanyakazi hewa

Nimewaza mamb okadhaa huyu dada yetu kama akuwa kwenye payroll akuwa kwenye volunteer list alikuwa kama Nani ...

Sheria za nchi hazimhesabu kama mfanyakazi Wa serikalini nawaza alikuwa NA tofauti gan NA hawa hewa tunawatafuta??

He PPF AMA NSSF YAKE ILIKUWA INAPELEKWA WAPI??
 
Wafanyakaz hewa hawaji ofisini, hawafanyi shughuli zozote za kiofis, ila mishahara inaingia kwenye kaunti zao. Either wamekufa au wamecha kazi au wamehamia sekta binafs. Mama kairuki alikuwa anaingia ofisin na kufanya shughuli zote za kiofisi, ila mshahara ndio hapokei. Nadhani umeelewa we kilaza.
 
Back
Top Bottom