Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,708
- 1,553
Habari, mara kadhaa unaweza kumuona tabibu akimchoma sindano mgonjwa kalioni, Mara nyingine Humchoma Mkononi, Kuna tofauti gani ya sindano hizo
Wanasema hiyo sindano ya mkononi inatakiwa kusukumwa taratibu maana akisukuma yote kwa Mara moja inaweza kukuletea mshutko kwenye moyo.mkononi ni kuharakisha dawa iwahi kufanya kazi sababu ni moja kwa moja kwenye mishipa ya damu.takoni dawa huaanza kufanya kazi taratibu.kwa jinsi nnavyoelewa mimi...
ila cha ajabu kuna sindano unachomwa mkononi lakini nesi anakuwa anaiskilizia sana anaeza kwenda kunywa chai akarudi akaminya dawa tena kidogo.kwanini asingeichoma takoni tuu
Duh aisee nomamkononi ni kuharakisha dawa iwahi kufanya kazi sababu ni moja kwa moja kwenye mishipa ya damu.takoni dawa huaanza kufanya kazi taratibu.kwa jinsi nnavyoelewa mimi...
ila cha ajabu kuna sindano unachomwa mkononi lakini nesi anakuwa anaiskilizia sana anaeza kwenda kunywa chai akarudi akaminya dawa tena kidogo.kwanini asingeichoma takoni tuu
Ni baadhi ya dawa ambazo huhitajika kuwekwa taratibu kutokana na inavyofanya kazi mwilin, na side effects zake kwenye Moyo.Wanasema hiyo sindano ya mkononi inatakiwa kusukumwa taratibu maana akisukuma yote kwa Mara moja inaweza kukuletea mshutko kwenye moyo.
Wewe ni kama mimi tu aisee.Sijawahi penda sindano yeyote...Bora ninywe dawa mwaka mzima
Sijawahi penda sindano yeyote...Bora ninywe dawa mwaka mzima
Blood group O nini?Nina miaka 31 sikumbuki lini nimechoma sindano.au kuumwa
Blood group O nini?
Inategeamao na ako na hasira kiasi gani kwa time hio! Kama ni salary fresh days atachoma hata kwa kidoleHabari, mara kadhaa unaweza kumuona tabibu akimchoma sindano mgonjwa kalioni, Mara nyingine Humchoma Mkononi, Kuna tofauti gani ya sindano hizo
No O plus wacha urongo
Amna kitu sipendi Kama icho Cha kutomasa tomasa makalio yangu.tofauti yake kwamba ya takoni ni lazima nesi akushike makalio yako
That's a big reason
No O plus wacha urongo
Duh,No O plus wacha urongo