Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,418
Tofauti ya writter, author na auditor.
Hilo neno writter halipo...
Ah, Komandoo Es, the high level of discourse you bring to the forum....
Like I said, it's wonderful to have the whole gang of you Here
Tofauti ya writter, author na auditor.
kunatofauti kubwa sana katika maneno hayo matatu. Nitajaribu kukufafanulia chronologically:
Author ni mtu ambaye wazo la kazi fulani limeoriginate kwake. kwa mfano wewe unaweza ukawa na wazo la kitabu fulani ukiwa umefikiria vitu vyote kuanzia wahusika, settings n.k yaani kila kitu mwanzo mpaka mwisho, sasa wewe ni author wa hicho kitabu.
Writer ni mtu ambaye ameliweka lile wazo la author katika maandishi, ikiwemo kulipangilia kwa mtiririko na muundo sahihi ili liweze kuleta maana sawa na inayoeleweka vizuri kwa wasomaji (au wangalia sinema)
editor ni mtu ambaye anafanya mapitio ya kazi iliyofanywa na writer ili kusahihisha makosa kama yapo na kutoa ushauri wa mabadiliko anapoona inafaa..kwa upande wa vitabu inaweza ikawa makosa ya kifasihi, kisarufi n.k.
huyu anaweza kuabaini makosa kama mpangilio wa sentensi na vitu vingine trivial kama vile kosa la kuandika mwaka 2051 badala ya 2015 na kadhalika
Point 1:
author anaweza kuwa na kipaji cha kutunga lakini sio mzuri kwa uandishi so atapeleka wazo lake kwa mwandishi mtaalamu.
Point 2:
mwandishi baada ya kumaliza kazi yake anaweza peleka kazi kwa Editor ili aipitie na kuhakiki ubora pamoja na kufanya/kussugest marekebisho
Point 3
Kuna watu wenye kipaji cha kufanya yote hayo matatu ingawa to be on the safer side unashauriwa usiedit kazi yako mwenyewe au ukishaiedit basi tafuta mtu mwingine afanye mapitio