azimio ernest
Member
- Jun 6, 2017
- 45
- 12
Msaada nataka kujua utofauti kwa ngazi ya diploma
Mleta uzi nimekuelewa lengo lako japo hujaandika ipasavyo.Msaada nataka kujua utofauti kwa ngazi ya diploma
yaaah jibu sahihi jiandae three years diploma then 4 years degreeMleta uzi nimekuelewa lengo lako japo hujaandika ipasavyo.
Katika masomo ngazi ya chuo. Kuna hivi vitu.
1. Bachelor of Pharmacy
Hii ni ngazi ya degree(Shahada ya kwanza)
2. Diploma in Pharmaceutical Sciences
Ngazi ya Diploma(Stashahada)
Km umekidhi vigezo soma COHapo nimeelewa mkuu iyo lakini unanishauri nisome diploma gani kati ya pharmaceutical na clinical medicine
Samahan wakubwa Nime maliza o,lever 2016 na matokeo yangu nilipata III 24Km umekidhi vigezo soma CO
Sifa ulizo nazo Pharmacy unapokelewa vizuri tuSamahan wakubwa Nime maliza o,lever 2016 na matokeo yangu nilipata III 24
Chemistry _C
Biology_C
B/,,mathemtcs _D
Physcs_F
English_C
Kiswhl,_C
Geog_D
Histoy_D
Civcs_D
Nanmehtim coz ya community health
Sasa ninataka kurudia mtihan I'll nikachukue Nursing,/ Co,/Pharmacy
Sasa inatakiwa nirudie masomo mangap hapa Masada tafathal!?
Labda pharmacy ya Somalia ndo anaweza kupokelewa, hapo lazima ufute hyo Bendera ya physics nduguSifa ulizo nazo Pharmacy unapokelewa vizuri tu
Samahan wakubwa Nime maliza o,lever 2016 na matokeo yangu nilipata III 24
Chemistry _C
Biology_C
B/,,mathemtcs _D
Physcs_F
English_C
Kiswhl,_C
Geog_D
Histoy_D
Civcs_D
Nanmehtim coz ya community health
Sasa ninataka kurudia mtihan I'll nikachukue Nursing,/ Co,/Pharmacy
Sasa inatakiwa nirudie masomo mangap hapa Masada tafathal!?
Labda pharmacy ya Somalia ndo anaweza kupokelewa, hapo lazima ufute hyo Bendera ya physics ndugu
Hapo unaenda vzr phamacia sijui kwanini ulichukua course njaa ya community health