Kuna tofauti gani kati ya Home Theatre na Sub-woofer?

Unaweza weka hapa hyo full system yako tafadhali na specifications zake na bei yake tafadhali

Spika mbili 6×9 sony hizi ni 4way rated 60w each 280w max ,,laki na 40 zote mbili na box

Spika mbili tena hizi ni component speakers from jbl ..contain a 2 woofer and 2 tweeters for each channel rated power ni 50w max 200w,, 180k

Subwoofer champion series from pioneer rated 600w max ni 2000w laki tatu na 10 na box yake kwa ajili ya bass

Amplifiers

Single 4ch amplifier for powering both 6*9 and component speakers from boschmann 1300w ni 160k

Single channel amp ( monoblock ) from pioneer gm 8604 used 180k ( bei ya kutupa huwezi pata kwa bei hiyo

Audio processor
6channel equalizer 50k
 
hii home theatre ya watt 1000 kwanini iuzwe bei mara nne zaidi ya hili seapiano lenye mziki poa kabisa???

Many features , including Dolby digital sound,

Production cost ni kubwa sana ...same kiwanda kikiwa nchi mbil tofaut eg tanzania na US same product ila ya us itakuwa bei ghali ..kumbuka ile point ya cheap labour secondary,,

Hata mm kuna ki amp mtu akitaka nimtengenezee basi bei itakuwa ni 10k ...ila same product specs ukichek eg aliexpress utakuta kanauzwa 2000 tu 😁 ..

Bass ya theatre ya 1000w haina maajabu sana ziko kama tu sawa na seapiano old model 8inch sub
 
Hii subwoofer ya pioneer ya rated power 600 watts ulinunua wapi? Maana hyo dar nimeulizia wananiambia ni 550000 tsh tena bila box
Spika mbili 6×9 sony hizi ni 4way rated 60w each 280w max ,,laki na 40 zote mbili na box

Spika mbili tena hizi ni component speakers from jbl ..contain a 2 woofer and 2 tweeters for each channel rated power ni 50w max 200w,, 180k

Subwoofer champion series from pioneer rated 600w max ni 2000w laki tatu na 10 na box yake kwa ajili ya bass

Amplifiers

Single 4ch amplifier for powering both 6*9 and component speakers from boschmann 1300w ni 160k

Single channel amp ( monoblock ) from pioneer gm 8604 used 180k ( bei ya kutupa huwezi pata kwa bei hiyo

Audio processor
6channel equalizer 50k
 
Halafu katika amplifier ipi yenye mziki mzuri zaidi, yaani ni stereo ama monoblock??, na hpo hujaweka aina ipi ya power supply unayotumia mkuu
Hii subwoofer ya pioneer ya rated power 600 watts ulinunua wapi? Maana hyo dar nimeulizia wananiambia ni 550000 tsh tena bila box
 
Spika mbili 6×9 sony hizi ni 4way rated 60w each 280w max ,,laki na 40 zote mbili na box

Spika mbili tena hizi ni component speakers from jbl ..contain a 2 woofer and 2 tweeters for each channel rated power ni 50w max 200w,, 180k

Subwoofer champion series from pioneer rated 600w max ni 2000w laki tatu na 10 na box yake kwa ajili ya bass

Amplifiers

Single 4ch amplifier for powering both 6*9 and component speakers from boschmann 1300w ni 160k

Single channel amp ( monoblock ) from pioneer gm 8604 used 180k ( bei ya kutupa huwezi pata kwa bei hiyo

Audio processor
6channel equalizer 50k
Duh!
 
Hii subwoofer ya pioneer ya rated power 600 watts ulinunua wapi? Maana hyo dar nimeulizia wananiambia ni 550000 tsh tena bila box

Em ulizia sehem nyingi nyingi hata kama zimepanda haiwezi fika huko asee ..sa hivi naona ni adimu..afu kila sehemu na bei zao kuna moja inauzwa laki na kumi sony 1200w ina mdundo mtamu sana na box yake ni kama laki mbili ila kuna mkoa nilikuta et laki tatu unusu...ipo pioneer pia ingne watts 1400 na box ni 250 ila ila sehem ingne bila box ni laki mbil na pesa ....

Ulivosema laki tano imebd nimchek mtu yupo nairobi still bei kule ni 10,000ksh
 
Ona hpo mkuu bei sio mchezo huku dar
Capture%2B_2020-10-23-08-39-10.jpg
 
kuna bandiko nimelisoma hapo juu jinsi ya kuseti hiyo home theatre kwenye sebule yako na kama usipoipangilia vizuri hutapata matokeo mazuri. huenda ikawa ni kweli. mwaka jana nimenunua home theatre yangu sony Dz 950 pale mlimani city, ina spika nne ndefu na moja kafupi pamoja woofer yake. kwa ushamba wangu nikazitega juu kwenye kingo nne za sebule, kila kona ikawa na spika yake. kile kimoja na woofer yake nikakiweka mbele kwenye sehemu ya Tv ila naona kama sikupata ile ladha halisi inayotakiwa. naombeni utaalamu wa kwenda kuzitega maana mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki napokuwa home
 
Back
Top Bottom