Kuna tofauti gani kati ya chuo na taasisi?

Jimjuls

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
468
250
Kwa ufahamu wangu tafsiri ya neno Institute ni taasisi na pia tafsiri ya neno University ni chuo kikuu.

Swali langu ni:Kwa nini Dar es Salaam Institute of Technolgy(DIT).Institute of Accountancy Arusha (IAA).Institute of Finance Management (IFM) n.k tunaviita vyuo ingali vina utambuzi wa "Institute''?
 

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
14,842
2,000
Yeah! Hizi ni taasisi maalumu kwa swala hilo tu! Mfano IFM ni kusimamia pesa, TIA ni uhasibu, DIT ni technology tu. Vyuo kama UD, UDOM ni complex havina speciality wala direct affiliation na wizara maalumu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom