Kuna Tatizo gani na online admission system ya Sokoine university of Agriculture (S.U.A)

PetersonBay

Member
Nov 26, 2016
69
15
Salaam Brothers and Sisters wa JF,
Nmekuwa najaribu kuingia Kujisajili kwa ajili ya udahili wa mwaka wa masomo 2018/2019 kwenye website ya SUA but online admission system http://www.suasis.sua.ac.tz/index.php/registration haifungiki, je ni mimi tu au ni tatizo ambalo lipo kwa wote, km kuna mtu ameshakutana nalo tafadhali tusaidiane tunatokaje kwa iyo changa moto. au km kuna link mbadala ambayo mm sijapata kuifahamu.
 

Attachments

  • SUA1.docx
    115.8 KB · Views: 45
Back
Top Bottom