Kuna Tatizo gani benki ya CRDB?

Crdb wanatabia ya kukata rejesho la kwanza kwenye amount ya mkopo hata kama kwenye salary ulishakatwa cha kufanya rudi kwa afisa mkopo atakufanyia process kuna amount itarudiashwa kwako
 
In short, financial system haiko balanced in Tanzania,mtoto wa mkulima ndo analea matajiri wote
 
Huna jibu ? Hama mzee. Wale jamaa hamna kitu siku hizi
 
Hii habari mbaya sana mzee. Unakataje hela ya mtu bila kumpa chake kwanza ?
 
Ukweli uliyoandika hapa ni mchungu lakini ndio uhalisia wenyewe. Benki zipo kwa ajili ya kufanya biashara full stop.
Kama unataka mkopo nafuu nenda SACCOS za kazini
 
CRDB kupata mkopo baada ya mwezi 1 hata kama umejaza na kurudisha form.
Huwa wanadanganya mfumo lakini si kweli wanatoa kwa mafungu.
CRDB imeondoka na Kimei
Japokua sina uhakika sana lakini inawezekana wanatoa kwa mafungu. CRDB kwa kweli iliondoka na Kimei
 
Aisee . . . Bora hao
 
Kufuatilia mkopo wapo, nadhani unajua anapata commision kwa kila mkopo unao kamilika.. so anakuona mtu muhimu sana.

Hutakiwi kumpa hata cent 5.
Ndio maana walimuambia haraka njoio wakijua mambo sio sawa, kwa ajili ya kuonyesha kuwa anafanya kazi analeta wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…