Kuna tatizo gan St Fransic university Ifakara.

Kuna tatizo gan St Fransic university Ifakara.

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
274
Reaction score
549
Hiki chuo naona kwa nyakati tofauti kimekuwa na tabia ya kuzuiwa udahili ba TCU. Naona msimu huu pia hamna kitu ila mwaka jana walidahili. Tatizo kubwa ni nini pale SFUCHAS. Mbona product zao ziko vizuri tu huku makazini
 
Ukiona kimezuiliwa kudahili, basi tambua kwamba hakijakidhi vigezo.

Na pia sidhani kama unazijua product zote za hapo mpaka utoe hiyo conclusion kwamba ni product nzuri
 
Back
Top Bottom