Kuna taasisi nyingine inayotoa sponsorship kwa masomo ya elimu ya juu?

Humphrey Silvanus

New Member
Jul 16, 2013
3
0
Ndugu zangu, watu wengi tunapenda kujiendeleza kimasomo, yaani elimu ya juu. Hivi hakuna organization tofauti na loan board inayotoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo au mtu ambae mtaingia nae mkataba wa kumlipa baada ya masomo up to 100% interest kama akigharamia masomo yako mpaka ukamaliza? Mnisaidie maana mimi ni muhutaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom