nimekuwa nikisiki kutoka kwa watu ambao wanatumia ps3 kwamba flat screen tv is the best kama unatumia ps3. Naomba kwa wale wanaofahamu wanijuze kwa undani juu ya swala hili. Je, kuna tv special kwa ajili ya ps3 au unaweza kutumia kwa tv yoyote?
Flat screen Tv yeyote, iwe na HDMI port, support 720p or higher, kama ina 3D itakua poa zaidi.
ina maana je, ni kweli kwamba ps3 inachagua tv?
hapana ps3 haichagui tv mkubwa, ps3 inatumia local cable kama ya ps2 na HDMI, so kama una tv flat unaweza tumia HDMI ambayo ndo clear na unajisikia poa sana kutumia coz HDMI kwa ps3 inaanzia 720p mpaka 1900p xo ts best on flat screen zenye resolution nzurin ukitumia tv yenye 3D hutaona utofauti wowote coz resolution ya ps3 iko fixed unless uiswch in the gaming mode ukiwa unacheza , all in all ps3 haichagui tv mkuu... joe out
sorry kidogo labda ungenielewesha vzuri zaidi kuhusu hdmi na resolution, na ili ps3 yangu ifanye kazi vizuri katika tv za kawaida, nini kifanyike?
(hii ni need for speed rivals)