Hesabu hazidanganyi.
Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani.
•Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele.
•Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua gari upande wa pili ili aponye nafsi yake. Kwahiyo ukikaa siti za pembeni kabisa upande wa pili wa dereva lazima ujue kuwa wewe ni kinga ya dereva.
Kwa leo tuishie hapo.