Kuna siri gani ya mume kutangulia kufa?

Tafiti ni wanaume walio kwenye ndoa ufa mapema kuliko wasio.
Vyanzo ni vingi.
1.Kubeba maumivu / madhaifu ya mkewe Siri nyingi mfano kuchapiwa,mtoto wa nje,nk.
2.kauli chafu za wanawake Zina changia vifo vingi vya mapema kwa wanaume hasa wastaafu


Upo sahihi, wanume wanaishi Kwa stress Sana , ukitazama MTU ambaye amechelewa kuoa na anazingatia mitindo sahihi ya AFYA Mara nyingi anakuwa energetic and vitality .

Hivyo lifespan itakuwa kubwa , wanawake wanaua Sana I speak from experience.
 
Wanaume hatuna Mambo mengi ukiishi zako miaka 50 inatosha, 25 ya kutafuta elimu na Pesa, 25 ya kula bata basi tunajiondokea.
Na Usipooa unaweza ukagusa mpaka flow ya 10 kwa kumtumikia MUNGu tu kama Pop na washikaji zake Pale Vatican.
 
Wanaume hawana uwezo wa kuhandle stress kama wanawake.
Mwanamke anatoa sumu kupitia kauli zao mwanaume upokea sumu zitokanazo na kauli.
Anaepokea ndie uathirika zaidi,zile sumu zikijazana moyoni uleta magonjwa mfano pressure,stroke,nk then mme ufa mapema.
Na mwanamke ubakia mjane akiwa yeye ndo chanzo kupitia kauli chafu.
 
Shida inaanzia kusimamia ukucha ,tunachosha sana mwili
Kama hilo ndo chanzo,babu yangu aliyekufa na miaka 86 akiwa na wake watano asingetoboa, pia waislamu wa kiume wangeshakufa sana maana wao wanaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja, na kwa kigezo hicho wakristo wa kiume wangeishi miaka 100+ maana wao wanaoa mke mmoja.

Kusimamia kucha kunaongeza uhai wa mwanamme, ukitaka kuamini hili nenda maeneo ya pwani yanayokaliwa na waislamu, hakika wazee wa kiume ni wengi sana kuliko maeneo yanayokaliwa na wakristo
 
ukiona ndoa imedumu ujue mwanaume kajishusha, mvumilivu ana sonona na mda si Marefu atatangulia mbele ya haki.
Wanaume tunabeba mambo mengi na mazito kwenye mioyo yetu.

Ukatili wa kijinsia tunaopata ni wa hali ya juu ila tunakufa na tai shingoni
 
Hasemi kama yeye akifa
Anajua wewe lazima utangulie.

Kuna mzee mmoja aliwazika karibia wake zake watatu yeye akibaki hai, alipoulizwa mbona wakeze hufa , aliwajibu kuwa yeye huamka mapema kitandani alfajiri na kumwacha mkewe kitandani akiamini Israel mtoa roho huja alfajiri kabla kujapambazuka, hivo anayekutwa amelala ndio huchukuliwa na mtoa roho.
Sijui kama kuna ukweli juu ya hili.
 
13 .lowasa
 
Umeignore factor nyingine muhimu sana. STRESS. Wazaramo ni carefree kind of people, so it's a mitigating factor.
 
Takwimu za serikali za hivi karibuni (NBS,2022) zinaonesha asilimia 42 (42%) ya kaya katika mikoa ya Mara na Simiyu inamilikiwa na wanawake; maana yake wanaume hawapo!!
 
Hapana. Kuamka mapema kuna husiana na healthy lifestyle, mf huyo ukute akiamka mapema anaenda shamba, in turn mwili wake unakua active & healthier. Lakini ni lazima upate facts kwa kina ili upate conclusive answer.
 
Ni kama hujaelewa hivi, mada!.

Yote kwa yote 'why wanaume mnawahi kufa' unapotaka kujua huku mtaani wazee waliotangulia, yawezekana umri bado au unaishi baharini, kwamba huko hamna watu wanaokufa!.

Tafiti zipo wazi wanaume wanakata moto mapema sana, mfano mimi naweza kukupa orodha ya wanaume 36 akiwemo wazazi wangu.

Ukiachana na mfumo wa mwili wa kujisafisha ambao ke' wanao bado me' tunateseka sana.
 
Usinilazimishe kuamini kua eti sijaelewa mada kisa nimeandika tofauti na matarajio yako,hatufanani,wewe elezea kwa mtazamo wako na sio kujiona eti wewe una akili zaidi ya wengine,JF is an open forums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…