Kuna siri gani usiku wa manane?

Kuna siri gani usiku wa manane?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,291
Reaction score
5,742
Imeanza kuzoeleka siku hizi mambo mengi yanayodhaniwa ni supprise kufanyika usiku.

Serikali nayo imeingia kwenye utaratibu huo huo wa kutengua na kuteua viongozi usiku kama usajili wa gsm.

Je kuna siri gani ya usiku wa manane?
 
Mshana karibu huku
 
Siri ni kuwapunguzia msongo waliwao vichwa.
 
Imeanza kuzoeleka siku hizi mambo mengi yanayodhaniwa ni supprise kufanyika usiku.

Serikali nayo imeingia kwenye utaratibu huo huo wa kutengua na kuteua viongozi usiku kama usajili wa gsm.

Je kuna siri gani ya usiku wa manane?
Kuna wimbo wa kwanya umeelezea yote kuhusu usiku wa manane utafute ukupe majibu ya maswal yako
 
Usiku kuna utulivu sana, mambo mnayakuta asubuhi...
 
Kuna kipindi kuanzia saa nane hadi tisa usiku ,,
hata upepo na miti huacha kuvuma,,
Hewa huwa nzito sana.

Upepo na miti huanza kuvuma tena ifikapo saa kumi alfajiri.

Hili Jambo linanishangaza sn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeanza kuzoeleka siku hizi mambo mengi yanayodhaniwa ni supprise kufanyika usiku.

Serikali nayo imeingia kwenye utaratibu huo huo wa kutengua na kuteua viongozi usiku kama usajili wa gsm.

Je kuna siri gani ya usiku wa manane?
Labda anaepusha taharuki. Unamtengeua mchana wakti Huo upo Kwa kikao inakuwa kazi
 
Imeanza kuzoeleka siku hizi mambo mengi yanayodhaniwa ni supprise kufanyika usiku.

Serikali nayo imeingia kwenye utaratibu huo huo wa kutengua na kuteua viongozi usiku kama usajili wa gsm.

Je kuna siri gani ya usiku wa manane?
Walio wa giza hufanya yao kizani....
 
Kuumizana roho, mfano Kafulila anapata habari saa 8 usiku, hapo usingizi unakata wife analia, na asubuhi inafikia hajui ufanye nini.
 
Tengua tengua hizi sio siri kuna watu walikuwa wanajua. Ingawa sio akina mange.
 
Imeanza kuzoeleka siku hizi mambo mengi yanayodhaniwa ni supprise kufanyika usiku.

Serikali nayo imeingia kwenye utaratibu huo huo wa kutengua na kuteua viongozi usiku kama usajili wa gsm.

Je kuna siri gani ya usiku wa manane?
Kuepusha ramli za kigogo2014.
 
Imeanza kuzoeleka siku hizi mambo mengi yanayodhaniwa ni supprise kufanyika usiku.

Serikali nayo imeingia kwenye utaratibu huo huo wa kutengua na kuteua viongozi usiku kama usajili wa gsm.

Je kuna siri gani ya usiku wa manane?
Usiku ni Muhimu sana HUENDA HATA MLETA MADA AMEPATIKANA USIKU..
Asilimia kubwa ya Mimba hutungwa usiku..
Usiku una umuhimu wake..

Depal jirani mawazo yako?
 
Back
Top Bottom