Kuna siri gani usiku wa manane?

Kuna siri gani usiku wa manane?

Yote yafanyikayo mchana tayari yalishafanyika ktk ulimwengu wa roho (spiritual realm) day is mere reflection of what already took place in spiritual realm . Demonic activities zipo active sana usiku kwavile hakuna resistance wanapata kama ilivyo wakati wa mchana ibada na maombi yanapofanyika huwa ni kikwazo kwa nguvu za giza kustawi .
Mathayo 13:24 Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake;
Mathayo 13:25 lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake. Ni usiku ndipo magonjwa vifo mabalaa mbalimbali kufukuzwa kazi mikosi etc inaratibiwa ila ashukuliwe Mungu atupae ufahamu wa namna ya kumpinga shetani .
 
Back
Top Bottom