Kuna siku Tanzania itapata haya...

Kuna siku Tanzania itapata haya...

Kwani huyu DPP wa sasa hivi ni yule yule mlieshangilia kuteuliwa kwake baada ya yule wa JPM kutumbuliwa?
 
Kwani huyu DPP wa sasa hivi ni yule yule mlieshangilia kuteuliwa kwake baada ya yule wa JPM kutumbuliwa?
Soma uelewe, siongelei individuals! Soma uelewe, nachoka kukuelimisha kila siku
 
Kuna siku Tanzania itampata DPP anayeweza kujisimamia

Kuna siku Tanzania itanpata IGP anayejitambua na kutumia akili zake mwenyewe

Kuna siku Tanzania itaongozwa na Mkurugenzi wa TISS mwenye uwezo wa kusimamia maslahi ya Taiga

Kuna siku Tanzania itampata Msajili wa vyama mwenye akili timamu, anayeijua JD take....

Kuna siku Tanzania itapata bunge linaloweza kuisimamia serikali....

On that day my son, tutakua huru!

Usiku mwema
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake. Kafanye kazi ujenge nchi, maana hata US kuna watu wanasemaga maneno kama hayo hivyo angalia usijekufa masikini ukasema ni kwa sababu ya wanasiasa. Kazi ya mwanasiasa ni kushawishi iwe kwa zuri au baya, na kazi yako ni kufanya kazi.....
 
Kuna siku Tanzania itampata DPP anayeweza kujisimamia

Kuna siku Tanzania itanpata IGP anayejitambua na kutumia akili zake mwenyewe

Kuna siku Tanzania itaongozwa na Mkurugenzi wa TISS mwenye uwezo wa kusimamia maslahi ya Taiga

Kuna siku Tanzania itampata Msajili wa vyama mwenye akili timamu, anayeijua JD take....

Kuna siku Tanzania itapata bunge linaloweza kuisimamia serikali....

On that day my son, tutakua huru!

Usiku mwema
Hakika ni MANENO MAZITO ya HEKIMA HUWEZI KUWA na VIONGOZI wa AINA HIYO Nchi ikawa ya AMANI na HAKI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku Tanzania itampata DPP anayeweza kujisimamia

Kuna siku Tanzania itanpata IGP anayejitambua na kutumia akili zake mwenyewe

Kuna siku Tanzania itaongozwa na Mkurugenzi wa TISS mwenye uwezo wa kusimamia maslahi ya Taifa

Kuna siku Tanzania itampata Msajili wa vyama mwenye akili timamu, anayeijua JD take.

Kuna siku Tanzania itapata bunge linaloweza kuisimamia serikali.

On that day my son, tutakua huru!

Usiku mwema
Kwa hiii katiba mbovu sahau
 
Back
Top Bottom