Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,419
- 100,663
AmenHiyo siku itafika iwapo TU , tutapata katiba mpya na kuivurusha CCM madarakani.
Viongozi wa CCM wanateua watendaji poyoyo wa vyombo vya ulinzi na usalama watakaolinda maslahi yao na ambao ni rahisi kupelekeshwa na kusukumwasukumwa
Hahahaaaa Tuanze na KatibaNani mwenye nguvu zaidi hapo kwamba tukimpata yeye tu anaweza kutosha
Kwa sababu kuwapata wote kwa wakati mmoja yesu atarudi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kuna siku Tanzania itampata DPP anayeweza kujisimamia
Kuna siku Tanzania itanpata IGP anayejitambua na kutumia akili zake mwenyewe
Kuna siku Tanzania itaongozwa na Mkurugenzi wa TISS mwenye uwezo wa kusimamia maslahi ya Taiga
Kuna siku Tanzania itampata Msajili wa vyama mwenye akili timamu, anayeijua JD take....
Kuna siku Tanzania itapata bunge linaloweza kuisimamia serikali....
On that day my son, tutakua huru!
Usiku mwema
Mbona tumesindwa ndugu. Wenye nchi ni polisi na usalama wa taifa na ccm yao.Wenye nchi ni wananchi.Hayo hayatatokea ni hadi wananchi waamue yatokee.
Hatujashindwa.Hadi mvua kunyesha ni mchakato mrefu sana kuanzia evaporation hadi condensation.Kila kitu kina mchakato wake.Mchakato unaendelea kujijenga.Mbona tumesindwa ndugu. Wenye nchi ni polisi na usalama wa taifa na ccm yao.
Humans and their ancestors have been walking the planet for about 6 million years. Homo sapiens, who are the modern form of humans evolved 300,000 years ago from Homo erectus. Human civilizations started forming around 6,000 years ago.Kuna siku tutapata dawa na sio chanjo ya korona!