Kuna siku Tanzania itapata haya...

Kuna siku Tanzania itapata haya...

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,204
Reaction score
99,943
Kuna siku Tanzania itampata DPP anayeweza kujisimamia

Kuna siku Tanzania itanpata IGP anayejitambua na kutumia akili zake mwenyewe

Kuna siku Tanzania itaongozwa na Mkurugenzi wa TISS mwenye uwezo wa kusimamia maslahi ya Taifa

Kuna siku Tanzania itampata Msajili wa vyama mwenye akili timamu, anayeijua JD take.

Kuna siku Tanzania itapata bunge linaloweza kuisimamia serikali.

On that day my son, tutakua huru!

Usiku mwema
 
Hiyo siku itafika iwapo TU , tutapata katiba mpya na kuivurusha CCM madarakani.

Viongozi wa CCM wanateua watendaji poyoyo wa vyombo vya ulinzi na usalama watakaolinda maslahi yao na ambao ni rahisi kupelekeshwa na kusukumwasukumwa
 
Foro ganze kaiharibu sana ile mienge inayokaa kwenye berret za polisi na majeshi mingine hivyo tusitegemee kuja kupata ukombozi wa nafsi kwa polisi
 
Tunahitaji katiba MPYA na kuheshimu sheria zilizopo. Kubambikia watu kesi sio jambo zuri na halifai asilani.
 
Na hiyo itakua ile siku ambayo Tanzania kutakua na vyama vya siasa visivyokua vya ki tapeli na kilaghai ama chadema

CHADEMA 2005 - 2014
20210724_195112.jpg
images (9).jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kuna siku Tanzania itampata DPP anayeweza kujisimamia

Kuna siku Tanzania itanpata IGP anayejitambua na kutumia akili zake mwenyewe

Kuna siku Tanzania itaongozwa na Mkurugenzi wa TISS mwenye uwezo wa kusimamia maslahi ya Taiga

Kuna siku Tanzania itampata Msajili wa vyama mwenye akili timamu, anayeijua JD take....

Kuna siku Tanzania itapata bunge linaloweza kuisimamia serikali....

On that day my son, tutakua huru!

Usiku mwema

siku ambayo katiba mpya itakapopatikana
 
Mbona tumesindwa ndugu. Wenye nchi ni polisi na usalama wa taifa na ccm yao.
Hatujashindwa.Hadi mvua kunyesha ni mchakato mrefu sana kuanzia evaporation hadi condensation.Kila kitu kina mchakato wake.Mchakato unaendelea kujijenga.
 
siku ambayo katiba mpya itakapopatikana


Lini itapatikana? Isipopatikana je? Na ikipatikana isiyotarajiwa je?






Hakunaga mafanikio yanakuja kirahisi kwenye maisha...

Ipo haja ya kwenda na Nje ya 18, Nje ya box kipara20
 
Kuna siku tutapata dawa na sio chanjo ya korona!
Humans and their ancestors have been walking the planet for about 6 million years. Homo sapiens, who are the modern form of humans evolved 300,000 years ago from Homo erectus. Human civilizations started forming around 6,000 years ago.

Hadi leo hakuna aliyegundua dawa ya kirusi.

It's good to be optimistic.

I like you
 
Back
Top Bottom