Kuna sifa gani au faida gani ya baadhi ya watu kujifanya watu wa system?

Mtu wa system hata akiwemo humu huwezi kumjua, hao ni wajinga wachache kati ya walio wengi
 
Mpaka sasa kuna wale wengine sijawaona kucomment lolote ktk uzi huu. Ni mafala sana, wanafikiri JF iko na watu wahovyohovyo.
 
yeye kasema kuna mtu anaitwa gentamanini naona GENTAMYCINE kaja mbiyo umejuaje km ndo wewe!
 
Back
Top Bottom