Kuna sifa gani au faida gani ya baadhi ya watu kujifanya watu wa system?

Utamsikia mtu anajisifia heti we hujui niko kwenye system!.sijui kwenye system serikalini ndo sehemu gan? Hacheni hizo !
Kila mtanzania anawajibika kwausalama wa nchi yake..! Hivyo wote tu usalama wa taifa anayebisha mimi ni USALAMA..!
 
Kuna wengine ukipishana kauli utamskia anasema "Unajua unaongea na nani mimi si mtu wa kawaida, sisi ndio wenye nchi utapotea sasa hivi "
hahahaha hao nawatamani sana kukutana nao unawachapa makofi alafu wanaishia kunung'unika tu
 
Siku zote ' Mwanaume ' aliyekubikiri ni vigumu sana kumsahau na ni lazima tu kila mara jina lake litakuwa karibu Kwako huku kila mara ukipenda kumtajataja na kumfuatilia kwa kila anachokifanya hata kama Wewe umeolewa na Mwanaume mwingine na Yeye pia Kaoa Mwanamke mwingine.
Tulia kijana tupake dawa kidonda japo kinauma ila hakuna namna ni lazima upate tiba pamoja na povu lote bado tutazidi kukutibu maana tukikuacha hivi madhara yake ni makubwa sana kuwa mvumilivu
 
Siku zote ' Mwanaume ' aliyekubikiri ni vigumu sana kumsahau na ni lazima tu kila mara jina lake litakuwa karibu Kwako huku kila mara ukipenda kumtajataja na kumfuatilia kwa kila anachokifanya hata kama Wewe umeolewa na Mwanaume mwingine na Yeye pia Kaoa Mwanamke mwingine.
Ngojera zako wapelekee huko wavidole juu wenzio
 
Kazi kwelikweli mkuu

a3af40518b7964fa6d81e481f5cbdaca.jpg
 
Music system.
Solar system.
Nervous system.
Brake system.

Ziko nyingi tu,kikubwa angalia size ya kichwa lake.
 
Kabla sijaja na majibu ambayo najua na nina uhakika wa 100% kuwa yatakuumiza na kukutesa mno ' Kisaikolojia ' naomba ili kuthibitisha haya ' madai ' yako uniwekee hapa ' ushahidi ' wako wote wa Kimaelezo kwamba kuna siku Mimi nimewahi kusema au kujitangaza au kujitapa humu JF kama ni Muajiriwa wa ' System '. Nasubiri huo ushahidi kisha baada ya hapo sasa nitakupa kile ulichokuwa ukikitaka kutoka Kwangu ili siku nyingine uiheshimu na ukae mbali kabisa na hii ID. Huwa nawapenda mno Watu kama nyie ambao huwa ' mnawashwawashwa ' na GENTAMYCINE na bahati nzuri leo umejiingiza mwenyewe katika ' Frame '.
Eeeeh bwana hapo ndio nakukubali Genta kwa vitisho vyako vya mwendo kasi... Una mikwara kama ya zena na betina....
 
Back
Top Bottom