Binti Maria
Senior Member
- Jun 26, 2007
- 158
- 33
Kuna taarifa za uhakika kwamba kule walikoshindwa, CCM wanataka uhesabuje kura urudiwe. Huko Karagwe Mkuu wa Mkoa ameagiza na anajarbu kushinikiza kwamba kura zihesabiwa upya. Vivyo hivyo Nyamagana, Ilemela, Arusha Mjini, etc. Kitakachotokea kama CHADEMA watakubali hili ni kwamba jamaa watatumbukiza makura yao na ndio utakuwa mwanzo na hitimisho la uchakachauji. Huku sio kutengeneza mgogoro kweli??!!