Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,075
- 4,300
Hakuna shida mkuu, ila kikubwa utachelewa kuingiziwa mkopo kama ulipata, na pia utachelewa kujua maeneo mbali mbali ya chuo kama vile sehemu za kukamatia watoto wakali (cafe 1 na cafe 2), library, sehemu inayozalisha watoto warembo (udbs), sehemu yenye eka eka nyingi (yombo 1,2,3,4,5), sehemu yenye mabinti wenye sura ngumu kama maisha yangu (coet), etc.Wakuu kuna shida gani nitakutana nazo ikiwa ntachelewa kuripoti chuo yaani nikaenda baada ya hizi wiki mbili walizotoa mimi ni first year chuo ni udsm.
Ko mkuu kuhusu usajili na boom nisiwaze kabisa itakuwa sawa tuhHkuna shida mkuu, ila kikubwa utachelewa kuingiziwa mkopo kama ulipata, na pia utachelewa kujua maeneo mbali mbali ya chuo kama vile sehemu za kukamatia watoto wakali (cafe 1 na cafe 2), library, sehemu inayozalisha watoto warembo (udbs), sehemu yenye eka eka nyingi (yombo 1,2,3,4,5), sehemu yenye mabinti wenye sura ngumu kama maisha yangu (coet), etc.
Life is not fair mambo yameingiliana mkuuShida utaiona baada ya kuchelewa.
Hivyo jitahidi uchelewe
Hujasema kwamba there's a problem. You're too generalLife is not fear mambo yameingiliana mkuu
Sio mjumbe sema ni maisha tu mambo yake tightHakuna.
Kama vipi usiende kabisa
Asante kwa kizungu.Life is not fear mambo yameingiliana mkuu
🔨 📌Nenda karegister kisha sepa zako! Kaa mwez halafu ndo uibuke chuoni huko.
Mkuu hatakuta wenzake wamefanya test one?Nenda karegister kisha sepa zako! Kaa mwez halafu ndo uibuke chuoni huko.
Natafuta ada mkuuNa kwanini u chelewe?
Hakuna shida mkuu, ila kikubwa utachelewa kuingiziwa mkopo kama ulipata, na pia utachelewa kujua maeneo mbali mbali ya chuo kama vile sehemu za kukamatia watoto wakali (cafe 1 na cafe 2), library, sehemu inayozalisha watoto warembo (udbs), sehemu yenye eka eka nyingi (yombo 1,2,3,4,5), sehemu yenye mabinti wenye sura ngumu kama maisha yangu (coet), etc.