Kuna shida yoyote nikichelewa kuripoti chuoni?

Mr simple M

JF-Expert Member
Sep 18, 2020
2,039
4,248
Wakuu kuna shida gani nitakutana nazo ikiwa ntachelewa kuripoti chuo yaani nikaenda baada ya hizi wiki mbili walizotoa mimi ni first year chuo ni UDSM.

Maana life is not fair mambo yameingiliana wakuu
 
Wakuu kuna shida gani nitakutana nazo ikiwa ntachelewa kuripoti chuo yaani nikaenda baada ya hizi wiki mbili walizotoa mimi ni first year chuo ni udsm.
Hakuna shida mkuu, ila kikubwa utachelewa kuingiziwa mkopo kama ulipata, na pia utachelewa kujua maeneo mbali mbali ya chuo kama vile sehemu za kukamatia watoto wakali (cafe 1 na cafe 2), library, sehemu inayozalisha watoto warembo (udbs), sehemu yenye eka eka nyingi (yombo 1,2,3,4,5), sehemu yenye mabinti wenye sura ngumu kama maisha yangu (coet), etc.
 
hHkuna shida mkuu, ila kikubwa utachelewa kuingiziwa mkopo kama ulipata, na pia utachelewa kujua maeneo mbali mbali ya chuo kama vile sehemu za kukamatia watoto wakali (cafe 1 na cafe 2), library, sehemu inayozalisha watoto warembo (udbs), sehemu yenye eka eka nyingi (yombo 1,2,3,4,5), sehemu yenye mabinti wenye sura ngumu kama maisha yangu (coet), etc.
Ko mkuu kuhusu usajili na boom nisiwaze kabisa itakuwa sawa tu
 
Nenda karegister kisha sepa zako! Kaa mwez halafu ndo uibuke chuoni huko.
 
Hakuna shida mkuu, ila kikubwa utachelewa kuingiziwa mkopo kama ulipata, na pia utachelewa kujua maeneo mbali mbali ya chuo kama vile sehemu za kukamatia watoto wakali (cafe 1 na cafe 2), library, sehemu inayozalisha watoto warembo (udbs), sehemu yenye eka eka nyingi (yombo 1,2,3,4,5), sehemu yenye mabinti wenye sura ngumu kama maisha yangu (coet), etc.
mbinguni Kuna maspanaaa kwakooo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom