Kuna Shida na kama isipopatiwa tiba tutakuwa watu wa ajabu kuliko maajabu yenyewe...

Nelly

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2020
Posts
5,666
Reaction score
11,123
Inakuwaje mtu ambae sio medical professional kupewa majukumu ya kuongoza wizara nyeti ya afya? Na hii inatokea kwenye wizara nyingi tuu na matokeo yake ndio kama haya...

Mnakera na kutia aibu asee
 
Attachments

  • Screenshot_20251212_231119.png
    Screenshot_20251212_231119.png
    438.5 KB · Views: 12
  • Screenshot_20251202_065302.png
    Screenshot_20251202_065302.png
    438.5 KB · Views: 8
Inakuwaje mtu ambae sio medical professional kupewa majukumu ya kuongoza wizara nyeti ya afya? Na hii inatokea kwenye wizara nyingi tuu na matokeo yake ndio kama haya...

Mnakera na kutia aibu asee
Mkuu hapo umebugi,waziri au mwenyekiti wa taasisi yoyote halazimiki kuwa na professional ya kitengo husika alichopo, mwenye kutakiwa kuwa na professional ni katibu/katibu mkuu.

Kuna siku utakuja kudai mkurugenzi wa halmashauri awe na professional husika wakati chini yake Kuna mwanasheria wa wilaya ,Kuna afisa elimu ,Kuna mganga mkuu nk,hawa ndo Huwa wanamshauri .

Labda kosa ni pale waziri ataamua kufanya kivyake bila kumshirikisha katibu wake ambaye ndiye mtendaji mkuu wa wizara.
 
Basi sidhani kama kuna haja ya wao kuwepo...

Rejea maelezo ya huyo baunsa hapo juu
 
unateteaje jambo ambalo huna uzoefu nao? Ina maana utakachoambiwa na wakurugenzi unaweza kupelekwa chaka au ukakataa mahali ambapo unatakiwa kukubali.

Ili kukubali kukataa au kujenga hoja inabidi kuwa na uelewa mzuri wa jambo husika.
 
Bora wewe una akili timamu..

Inawezekana Isiwe wizara zote ila kuna wizara ni Muhimu ziwe na watu wenye profession husika mfano Ulinzi,Afya,Fedha,Mambo ya nje & ndani na kadhalika.......
 
Mkuu hapo umebugi,waziri au mwenyekiti wa taasisi yoyote halazimiki kuwa na professional ya kitengo husika alichopo, mwenye kutakiwa kuwa na professional ni katibu/katibu mkuu.

Kuna siku utakuja kudai mkurugenzi wa halmashauri awe na professional husika wakati chini yake Kuna mwanasheria wa wilaya ,Kuna afisa elimu ,Kuna mganga mkuu nk,hawa ndo Huwa wanamshauri .

Labda kosa ni pale waziri ataamua kufanya kivyake bila kumshirikisha katibu wake ambaye ndiye mtendaji mkuu wa wizara.
Umesema vizuri na nadhani tatizo letu kubwa siyo ''waziri kuwa na professional'' bali ni ''waziri kutokuwa na sifa ya kuwa waziri''. Yaani teuzi zinaangalia machawa na siyo sifa. Kwa hili la Mcherengwa, ni kuwa jamaa hana sifa ya kuwa waziri sehemu yoyote na siyo afya tu. Yupo pale ili kumsaidia ''D moja ya form four'' na siyo kuongoza.
 
Mkuu hapo umebugi,waziri au mwenyekiti wa taasisi yoyote halazimiki kuwa na professional ya kitengo husika alichopo, mwenye kutakiwa kuwa na professional ni katibu/katibu mkuu.

Kuna siku utakuja kudai mkurugenzi wa halmashauri awe na professional husika wakati chini yake Kuna mwanasheria wa wilaya ,Kuna afisa elimu ,Kuna mganga mkuu nk,hawa ndo Huwa wanamshauri .

Labda kosa ni pale waziri ataamua kufanya kivyake bila kumshirikisha katibu wake ambaye ndiye mtendaji mkuu wa wizara.
Sio kila wizara utaweka hao watu unaosema wewe. Mojawapo ni ya afya, elimu, sheria na katiba, ulinzi, n.k
 
Bora wewe una akili timamu..

Inawezekana Isiwe wizara zote ila kuna wizara ni Muhimu ziwe na watu wenye profession husika mfano Ulinzi,Afya,Fedha,Mambo ya nje & ndani na kadhalika.......
Mkuu, unaweza kuwa sahihi japo siyo lazima. Unaweza kukuta kiongozi mzuri sana, asiye na background ya mambo ya ulinzi na usalama na ukampa wizara eg ya mambo ya ndani au ulinzi na akafanya vizuri sana. Hii ni kwa sababu kazi ya waziri siyo ya kitaalam per se. Waziri anakuwa na wasaidizi ambao ndiyo wanatakiwa kuwa na ujuzi wa wizara husika. Japo sikatai kuwa akiwa na ujuzi wa wizara inampa plus... Note: tunatakiwa tuangalie kwanza ubora kwenye uongozi na siyo utaalam wa wizara husika. eg ukiambiwa leo uchague waziri wa fedha, kati ya Lissu na Mwigulu unadhani nani atafaa?
 
Kwa sababu ya machaguo uliyoleta nitaenda na Madelu....

Nina swali mkuu... SSH anafaa kuwa na nafasi aliyonayo sasa hivi?
 
Mwingulu alikuwepo na tumeona alivyo wa hovyo. Hiyo inadhihirisha hoja kuwa ''siyo lazima awe mtaalam wa wizara husika'' kuwa na mashiko. Kimsingi umeunga hoja mkono kwa kuonyesha jinsi ''utaaalam'' usivyokuwa ni kitu cha lazima. Jibu la swali lako: SSH siyo kuwa hafai, bali hafai hata kuwa mkuu wa mkoa na nashangaa sana ilikuwaje akawa makamu na mbunge.... Bila shaka inaonyesha mchakato wetu wa kupata viongozi ni mbovu mno mno.
 
Utaalamu sio shida mkuu tukubaliane Shida ipo kwenye MFUMO wa kuwaandaa,kuwaajiri,kuwasimamia na kuhakikisha yote yanafanywa kulingana na miongozo sahihi...
 
Back
Top Bottom