Unakaa chini ya mnara au ghorofani?Halotel huku nilipo speed kama yote cheki hapo no buffering View attachment 1719767View attachment 1719768View attachment 1719769
Hahahahahaha hamna mkuu hata mnara wa halotel sijui ulipoUnakaa chini ya mnara au ghorofani?
Situmii halotelHalotel huku nilipo speed kama yote cheki hapo no buffering View attachment 1719767View attachment 1719768View attachment 1719769
Halotel inataka band 2600 na mimox2Huku kwetu halotel nao majnga tu sikuhz. Ilikua freshy tu nayo unapata mpka 35mbps ila watu wengi walivyoanza kukimbilia halotel ikashuka
Mimi natumia Pixel 3a na hyo band ipo supported ila speed ilishuka kweli hapo nyuma nikaachana na halotelHalotel inataka band 2600 na mimox2
Simu za kichina hazina hizo specs hata Watu wengi wakikimbilia haikuathiri wewe, wanaathirika wengi waliojazana kwenye band 2100.
Same kwa Tigo band 1800 na Ttcl band 2300.
Wanafeli. Mm nilikua napata hii speed kwenye voda mwezi uliopitaMkuu nilidhani ni mimi mwenyewe jana ni test voda speed kwa kweli ili nishangaza sana. Nika change kwenda 4G wapi. Leo ndio nimegundua pitia uzi wako hili tatizo lipo kwa watu kibao.
Hawa jamaa mwezi uliopitwa si walipigwa fine na TCRA kuhusu kutoa huduma zisizofikia kiwangoKuna shida kwa watoa huduma hawa hili tatizo la kupunguza kasi ya matumizi kwenye data huu ni mpango maalum baada ya serikali kuwakomalia juu ya wizi wanaotufanyia.
Speed ni mwendo wa jongoo kitu ambacho hakijawahi kuwepo hapo kabla.
Inaker sana unafungua video inaload muda mrefu.
Si bora waseme kuna nini?