Kuna shida gani kuoa mwanamke mlevi?

Kuna shida gani kuoa mwanamke mlevi?

hivi unaanza vipi hata kumpa nafasi ya kufikiria tu kwamba nimuoe na mwanamke mwenye tabia za ulevi,kiupande wangu hata mchumba mlevi tu simuhitaji naanza vipi hata kumkiss tu na miharufu ya pombe kwenye domo lake
 
Back
Top Bottom