Kuna shida gani kuoa mwanamke mlevi?

Kuna shida gani kuoa mwanamke mlevi?

inategemeana na nini mkuu
tabia yake akilewa mfano akilewa anafanya mambo ya ajabu na aibu huyu hapanaa.

ila kuna wale hata kama ni mlevi ila anajiheshimu na anawaheshimu na wengine pia na anasimamia majukumu yake huyu ni sahihi japo ni wachache sana.

Na kama unampenda na yeye anakupenda unaweza ukambadilisha akapunguza au akaacha kabisa ulevi
 
asante mkuu
 
27337256_1841505225860938_5503661048073424491_n.jpg
 
POMBE NA UZINZI NI MARAFKI WANAOPENDANA SANA.

MIMI DEMU WANGU ALIKUWA MLEVI, NIKAGUNDUA AKINYWA POMBE ANAKUWA DHAIFU MNO WA NGONO, YANI HAMU ZINAMPANDA, NKAANZA KUPGA PROGRAM YA KUMWACHSHA POMBE, SASA HV ANAICHUKIA...
 
NI sawa tu, maana utakuwa unampeleka baa unamsubiri alewe halafu mnarudi wote sa sita au nane usiku akisharidhika. Au kama umechoka akirudi atakugongea umfungulie wanaume wakimleta baada ya kurishana na pombe zao.
 
mm sinaga noma ila tatizo ni huko anakukunywa atatoka sala ngoma ikiingia kichwani?
Kama ananywea hom haina mbaya mradi tuu asiwe na mimba wala kunyonyesha.

Hata mm pia nkitaka kunywa asininyime kwa maana hakiharibiki kitu.

Hiyo inavumilika ila usaliti hapana aisee hiyo ngumu kumeza.
 
Yaani kama jambo hili dogo unashindwa kulitatua ama kujua kipi sahihi basi IQ yako ndogo sana,
Sio lazima uulize kila kitu humu, hicho kitu simple sana Fanya maamuzi mwenyewe.
M nmekosa hata cha kumwambia

Cha kuongeza tu hapa n kuwa
Akitaka kujua shda inakua wap
Amuoe af jamaa awe co mlev
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom