Kuna shida gani kiafya kukaa na pikipiki ndani?

Kuna shida gani kiafya kukaa na pikipiki ndani?

Wewe inaonekana ni full mtoto wa kishua. Umekulia Ushuani.

Mwenzako inawezekana amepanga chumba kimoja. Na nyumba haina uzio na kulaza ccm anaona buku ghalama.😉
Teh teh teh ntaanzisha sledi "kwann majumba ya ccm yamegeuzwa ndo parking areas" reff iringa na morogoro

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Madhara ni mengi mno mkuu. Hewa ya chumbani ikiongezewa tena ya chombo hicho afya itaanza kudorora. Kwanini? Kwa sababu, huwezi kuacha madirisha wazi kuogopa hao hao vibaka, hivyo utaitumia ile jewa nzuri kidogo iliyobaki kupoozeshea pikipiki yako.
Jaribu kwa siku chache uone unavyo amka umechoka. Pili, waweza ota kuwa inaibiwa uamke ghafla na kujigongo kwenye hiyo piki piki uumie mkuu na keshoye ulale bila kufanya kazi. Ni hasara zaidi kuliko kuilaza ccm.
Ushauri;
Jiungeni vijana ka 7 hivi, mpangishe chumba chenu, mzilaze humo ili muweke lindo lenu mkipeana zamu au mfunge cctv camera humo
Eti atajigonga kwenye hiyo hiyo pikpik atakapoamka akiwa anaota

Samsung note7
 
Usilaze pikipiki yako ndani ya fensi au ngome au chumba cha nje ambamo hulalimo utaibiwa, nakushauri lala nayo sebuleni kama huna sebule lalanayo chumbani.

Nina habari za watu watatu tofauti kuibiwa pikipiki zao kwenye mageti yao. Vibaka wanaruka ukuta wanaingia ndani wanavunja kufuri wanaondoka na pikipiki.

Kunasemu waliruka uzio wakaingia ndani, alafu wakafunga kwa nje milango yote ndio wakavunja chumba kimojawapo kilichokuwa kinatunziwa pikipiki mbili zikaenda.

Binafsi mwanzo nilikuwa naishi chumbani kimoja tu, nilikuwa nalala na pikipiki yangu ndani wala haina madhara ilimradi huiwashii ndani na huiweki karibu na jiko na haitililishi mafuta.

Wengine ni matajiri milioni 2 na point si kitu kwao, sisi wengine pikipiki ndio VX zetu.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hizo boxer, san-lg, kinglion etc hazina steering lock?
Mtoto mshamba Wewe steering lock hazina maana wala usijipage moyo kuwa umeifunga,,,,Mimi nimeibiwa Pikipiki tatu na nilikuwa najidai nimezifunga na Pikipiki ya mwisho walikuja na spana wakafunguwa tail wakaziacha na wakapakia kwenye gari
 
Basi ww m.senge
 
Wadau poleni na pilika za maisha. Niende kwenye mada hapo juu, kuna shida gani ikiwa unapolala chumbani kwako au sebuleni kuiweka pikipiki ili kuilinda kutokana na sakata la wizi? Je kuna matatizo kiafya kulala karibu nayo?
inunulie net mkuu

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Duhh....[emoji45] [emoji45]
Maswali mengine bhana....
 
Eti atajigonga kwenye hiyo hiyo pikpik atakapoamka akiwa anaota

Samsung note7

Umewahi kuota unakimbizwa na wezi au kitu cha hatari?? Mbona tunajishtukia tumeanguka toka kitandani?? Akiota hiyo pikipiki inaibwa si atajigonga aumiye akikimbilia kuizuia??
 
Usilaze pikipiki yako ndani ya fensi au ngome au chumba cha nje ambamo hulalimo utaibiwa, nakushauri lala nayo sebuleni kama huna sebule lalanayo chumbani.

Nina habari za watu watatu tofauti kuibiwa pikipiki zao kwenye mageti yao. Vibaka wanaruka ukuta wanaingia ndani wanavunja kufuri wanaondoka na pikipiki.

Kunasemu waliruka uzio wakaingia ndani, alafu wakafunga kwa nje milango yote ndio wakavunja chumba kimojawapo kilichokuwa kinatunziwa pikipiki mbili zikaenda.

Binafsi mwanzo nilikuwa naishi chumbani kimoja tu, nilikuwa nalala na pikipiki yangu ndani wala haina madhara ilimradi huiwashii ndani na huiweki karibu na jiko na haitililishi mafuta.

Wengine ni matajiri milioni 2 na point si kitu kwao, sisi wengine pikipiki ndio VX zetu.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa ushauri wa busara
 
Back
Top Bottom