kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,127
- 24,429
Hawa watu wa Baraza la... hawaaminiki ndo maana tunasema sio wawakilishi wa waislam na wapuuzwe.
Nakumbuka ilikua mwaka 2020 kuna Sheikh mmoja mkubwa wa Baraza... na maarufu nilimuona akila Mbuzi katoliki live.
Niliduwaa sana ila nikasanuliwa pale ni mteja wao kindakindaki kwa miaka mingi tu, na huyo jamaa ni mjumbe wa kamati flan za kudeal na amani kama wanavyojinasibu na aliwahi kugombana na dada mmoja wa Mantoni miaka ya Nyuma hope mshaelewa Code!!
Hii nchi ina mambo mengi ya ajabu mbali na kula kitimoto hivi ukiambia Bibiye ni mlevi wa kutupwa unaweza usiamini mwanzo nilidhani ni hadithi tu lakini nikaja kuthibitishiwa na mtu wa cycle yake niliishiwa Pawa.