Kuna sababu zipi za msingi zilizofanya Serikali yetu iipe uzito mkubwa sana kesi iliyofunguliwa na Tundu Lissu dhidi ya Spika Ndugai?

Unataka kutuambia kwamba Speaker anapokwenda kuangalia mpira uwanjani anakuwa sio speaker sababu pale uwanjani sio bungeni?
Itategemea, hapo uwanjani amekwenda kwa mwaliko kama speaker.!? Au kaenda kawaida kama mashabiki wengine.

Tatizo la watanzania wengi hawafahamu kutenganisha kati ya dhamana aliyonayo mtu serikalini na yeye mwenyewe kama yeye.

Watu ingalau ktk utawala huu ndo wameanza kufuata sheria, taratibu na kanuni. Huko nyuma tulikuwa tunajiendea tu na tukaona ni haki yetu.

Hivyo ukivunja sheria eti kwa kuwa mhusika anafaham shida yako bila kuomba ridhaa rasmi toka kwake hilo ni kosa.
 
Mkuu Yehodaya, hayo ni mawazo mufilisi..........

Hivi katika karne hii, bado unaipa uzito hoja ya vyama vya ukombozi??

Ama kweli ndiyo maana CCM inajigamba kuwa itatawala milele!
 
Alishachelewa imekuwaje unamlipa zaidi ya mwaka mtu ambaye haujui mahali alipo? Uliposema utaenda kumtembelea huko Nairobi ulitaka kutembelea nin ? ni maswali hayo tuu yatamrudisha Ndugai kwenye mstari.
Nyie jamaa, si nilikuambiaa..!? Lisu yuko wapi, kabwagwa mahakamani, na hata akikata rufaa bado atabwagwa tu. Tatizo lenu huwa mnacoment tu akati sheria, taratibu na kanuni za utumishi wa umma hamzijui. Nimeamini JF waelewa ni wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…