kuna sababu ya kufuatilia background ya wapenzi wetu?

Ndugu wana jamvi kuna sababu ya kujua mpenzi wako unayetaka kumuandaa kuwa my wife au my husband alikuwa anaishije kwenye maisha yake ya kimapenzi hapo nyuma. Tusaidiane maana nataka kuingia katika maisha ya ndoa lakini bado sijampata wa kumoyo.

NB: Wana JF inawezekana hii thread ilishajadiliwa hapo nyuma lakini TAFADHALINI tusaidiane tena kimawazo wanajamii wenzangu!!

...kuna msemo unasema "...wengi wape", wengi wamekushauri usifanye hivyo...sawa! lakini kwa ushauri wangu ningekushauri madhali unataka kumuoa/kuolewa naye, mchunguze!

Sasa Kuna haja gani ya kuwa na mpenzi kama hujui background yake!!!!???? Do we really know what love is if we dont know our partners???

...YOU NEED TO KNOW A PERSON TO LOVE HIM/HER, INCLUDING HIS/HER PAST

CMON GUYS.... LET TRUTH BE TOLD!!
 
My dear Sipo, ni vizuri kufahamu hata kidogo back ground ya mpenzi wako, unaweza kujua back ground si kwa kwa kufahamu katembea na wangapi la hasha! Penda kujua familia yake ipoje. Kama ni watu wazuri na watakuwa na upendo na ww. Tabia zao zipoje ili usije na ww kupata watoto wenye tabia chafu kama wao ikiwa tabia zao mbaya.
Mie sioni umuhimu wa kujua mpenzi wako alitembea na nani, maana ya kale yamepita tazama sasa mmeanza mapya. Kama mwenyewe akijipendekeza kukwambia is ok, lkn sio kumhoji hoji mtu.
 
Kuna watu wengine wana wivu wa ajabu sana. Kama unataka mke au mume ambaye ni bikira :) basi wapo kibao! we tangaza tu unataka bikira basi utapata maelfu ya watu kisha utafanya uchaguzi wako. Umchunguze mke/mume wako ili kujua katembea na watu wangapi ili iweje? halafu ukishajua itakusaidia nini? Bora ungesema woote mchunguze afya zenu ili kuhakikisha hamjangusa miwayawaya kabla ya kuingia kwenye ndoa yenu.

thanks Senior, ni wazo zuri na ndio maana nimekuja hapa nipate mawazo kama haya. thanks
 
My dear Sipo, ni vizuri kufahamu hata kidogo back ground ya mpenzi wako, unaweza kujua back ground si kwa kwa kufahamu katembea na wangapi la hasha! Penda kujua familia yake ipoje. Kama ni watu wazuri na watakuwa na upendo na ww. Tabia zao zipoje ili usije na ww kupata watoto wenye tabia chafu kama wao ikiwa tabia zao mbaya.
Mie sioni umuhimu wa kujua mpenzi wako alitembea na nani, maana ya kale yamepita tazama sasa mmeanza mapya. Kama mwenyewe akijipendekeza kukwambia is ok, lkn sio kumhoji hoji mtu.

Biblical advice, thanks Pretty, nashukuru as far as am serious over the issue
 
My dear Sipo, ni vizuri kufahamu hata kidogo back ground ya mpenzi wako, unaweza kujua back ground si kwa kwa kufahamu katembea na wangapi la hasha! Penda kujua familia yake ipoje. Kama ni watu wazuri na watakuwa na upendo na ww. Tabia zao zipoje ili usije na ww kupata watoto wenye tabia chafu kama wao ikiwa tabia zao mbaya.
Mie sioni umuhimu wa kujua mpenzi wako alitembea na nani, maana ya kale yamepita tazama sasa mmeanza mapya. Kama mwenyewe akijipendekeza kukwambia is ok, lkn sio kumhoji hoji mtu.

na hapo ndipo tulipomueleza asipafatilie kivile, hayo mengine ni ya muhimu ya hamuwezi kuwa na relation bila kujua kuhusu familia mlizotokea zipoje, bravo pretty.
 
Wana JF i thanks all of you for the nice advice, nimepanuka zaidi kiuelewa and i believe i can decide more better now than before. thanks all
 
Back
Top Bottom