Kuna sababu gani serikali kuzuia Valentine day

Sijui sasa hivi tutakuja na slogan gani maana ya mwaka jana ilikuwa "maua pelekea nyukiiiiii" nahisi ya mwaka huu itakuwa HAPA KAZI TU
 
Mkuu sisi wengine wazazi wetu wapo ngazi za juu serikalini so kitu kabla hakijawa officially announced tunakuwa tushakijua tayali
Mkuu kama kweli wazazi wapo ngazi za juu serikalini, nina imani kubwa walikuambia pia sababu ya kuzuia. So haukuwa na haja ya kuna hapa kuuliza
 
Ikiwa ni kweli basi kwa mara ya Kwanza nitaipongeza serikali kwa jambo hili, valentine day ni moja ya upuuzi wa kitumwa ambao kizazi kinarithi bila kuelewa unatoka wapi
 
Back
Top Bottom