lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,168
- 33,424
😂we dada una nini lakini toka saa tatu asubuhi unazungumzia utamuSisi wenye hadhi za chini sio watamu?!?? Au???
Naomba kufahamishwa mara moja, ili nijue cha kufanya.... natanguliza shukrani.😂we dada una nini lakini toka saa tatu asubuhi unazungumzia utamu
😂 😂 😂Kula penzi la mwanamke ambae Ni:-
bosi wako,
Mtoto wa bosi wako,
😅shukrani yako nimeipokea, naungana na mleta mada kusema manzi iliyo hatua ya juu kidogo ni tamu mno, mfano mimi naona inayonizidi angalau miaka 10 ni tamuNaomba kufahamishwa mara moja, ili nijue cha kufanya.... natanguliza shukrani.
naona mlisubiri msiba uishe mrudi na hizi nyuzi😂
Msiba uliongozana na kwaresima,tulifunga pamoja naaombolezo.naona mlisubiri msiba uishe mrudi na hizi nyuzi😂
Unakula statuswana mnato tofauti ama...?