lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,149
- 33,322
Kwanza nguvu huwa zinaongezeka,Raha zaidi,utamu zaidi na starehe sana kwa mwanaume unapokula penzi la mwanamke yoyote aliekuzidi au mwenye hadhi ya juu zaidi.
Kwa mfano:
Kula penzi la mwanamke ambae Ni:-
bosi wako,
Mtoto wa bosi wako,
Tajiri,
Mtoto wa kiongozi,
Mwenye akili Sana,
Mwenye cheo zaidi yako,
Mtoto wa tajiri,
Kiongozi,
Maarufu,
Mashuhuri,
Ikitokea kumpata mrembo mmojawapo Kati ya hawa ambae kwa hakika atakua Ni juu zaidi yako hakika nakuambia ni starehe Sana.
Kwa mfano:
Kula penzi la mwanamke ambae Ni:-
bosi wako,
Mtoto wa bosi wako,
Tajiri,
Mtoto wa kiongozi,
Mwenye akili Sana,
Mwenye cheo zaidi yako,
Mtoto wa tajiri,
Kiongozi,
Maarufu,
Mashuhuri,
Ikitokea kumpata mrembo mmojawapo Kati ya hawa ambae kwa hakika atakua Ni juu zaidi yako hakika nakuambia ni starehe Sana.