Kuna Rafiki yangu..mchakachuzi!

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,997
Huyu Rafiki kila kitu anataka kuchakachua! Mkiwa kwenye kikao anachakachua main point, kwenye mazungumzo anachakachua hadi unapoteza uelekeo wa mazungumzo...Kwenye Siredi sasa! yani thread ina mandhari ya siasa anipeleka kwenye business then anapeleka kwenye mahusiano mpaka inapoteza quality ya awali!
 
anairudisha kwenye utambulisho...anaipeleka kwenye intenishino...kisha anaibwaga kwenye chit-chat!...
 
jamani Kuna Mchakachuaji kama neno
Na mchakachuaji kama jina ?:biggrin:
ndo maana nilishindwa kuelewa

mchakachuaji kama kivumishi!- yani yeye hana utaratibu na anachukia utaratibu, akikuta utaratibu huharibu!
 
Ni nani huyu tena Petcash?:lalala:
Yani unaweza post mada kwenye politics akaichakachua hadi moderators wanaihamishia chitchat! wewe unarudi baadae haipo! inabidi uingie majukwaa yote ili kuitafuta-mradi tu ujue kwamba siku hiyo kaamkaje? kama kaamka kibiashara unaanzia kwenye jukwaa hilo
 
But rules are there to be broken:shock:
Vinginevyo zitafanyiwa ammendment:nod:
 
Back
Top Bottom